Relevant writing sample ndo nini wandugu?

kajjansi

Member
Jul 13, 2012
15
1
Wanajamvi vp? naomba msaada kuna kazi zimetangazwa ila moja kati ya viambatanisho ni hii relevant writing sample na kwa kweli sina uhakika kama nimeilewa vizuri hivyo naomba ufafanuzi kwa anayejua ili niweze kusotea hiyo kazi.
God Bless.
 
hey,mara nying ktk intavyu hua wana assess oral skills etc,ukiambiwa uinclude resumé na wrtng sample(myt b thesis,articles,etc etc,any thn that wud demonstrate ur wrtng xills)..so take ur tym chagua chochote kt ya sample of ur thesis/article uliyoandika,then submit..
 
Asante mkuu nimekusoma
 
Wanajamvi vp? naomba msaada kuna kazi zimetangazwa ila moja kati ya viambatanisho ni hii relevant writing sample na kwa kweli sina uhakika kama nimeilewa vizuri hivyo naomba ufafanuzi kwa anayejua ili niweze kusotea hiyo kazi.
God Bless.
Lugha tu hapo ila nakusaidia leo tu ongeza vocabulary ili next time uwe independent.Kwanza hiyo kazi uliyo omba itakuwa inahusisha kuandika vitu fulani say "business plan","policies", "business proposal" ,articles ets.relevant wanamaanisha inayoendana(related) na kazi uliyoomba,kama ni kazi ya research na wewe unapeleka written sample ya business plan unakuwa umechemka.So kwa kifupi ni kazi amabyo ulisha andika ila iwe iko ktk fiel hiyo hiyo kama kazi hii uliyoomba.If you can read you can learn anything.
 
That is why ur great Thinkers! nakubaliana na ushauri wako na nashukuru kwa insight!

y
 
Back
Top Bottom