Search results

  1. Bahati furaha

    Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Hii Pixel ina Gorilla Glass ipi mkuu
  2. Bahati furaha

    Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Vipi network Mkuu? Mimi ninayo toleo la 6, nikiongea na watu sometimes wanasema inakatakata sana lakini mimi nawasikia fresh tu.
  3. Bahati furaha

    Vodacom Tanzania wamezindua rasmi huduma ya "e-SIM"

    Yes. Mfano Iphone unaweza kuunga eSim hata zaidi ya 8.
  4. Bahati furaha

    Ndoa ya Kimila

    Dini ni mila vilevile.
  5. Bahati furaha

    Usumbufu wa Mashirika ya Ndege Dar es salaam

    Nani alikwambia unaweza kwenda nchi za watu na kujiamulia cha kufanya ili mradi una vizsa? Hao airline wana sheria inawataka uoneshe tiketi ya kwenda na kurudi kama unaenda kutembea, tiketi ya kwenda tu kama wewe ni mkazi au unaenda kusoma. jitihadi kuiepusha familia dhidi ya aibu
  6. Bahati furaha

    Ni lini Paypal itaanza kufanya kazi Tanzania?

    Asante kwa maelezo mazuri. Mfano: nikitaka kulipa bidhaa Ebay naweza kutumia hii Skrill kama inavyotumika PayPal? Sijaona stores ambazo zinztaka kulipwa kwa Skrill kama ilivyo kwa PayPal! Msaada zaidi tafadhali maana kadi yangu inasumbua kwenye PayPal kwa siku za hivi karibuni(sijsjua wala...
  7. Bahati furaha

    Ni lini Paypal itaanza kufanya kazi Tanzania?

    Nipe shule kidogo ya Skrill kaka, tafadhali.
  8. Bahati furaha

    Ni lini Paypal itaanza kufanya kazi Tanzania?

    Nikiwa na hiyo safaricom huku Nanjilinji naweza kuitumia?
  9. Bahati furaha

    🚨 Mazda Verisa aka Dogo Janja

    Nje kidogo ya Mazda: Kati VW Golf Touran na VW Golf TSI, ipi bora?
  10. Bahati furaha

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Fafanua kidogo kuhusu hizo herufi mkuu
  11. Bahati furaha

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Nimeagiza simu mara 2 sijawahi kulipia.
  12. Bahati furaha

    Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

    Huu Huu ni uongo uliopitiliza. Hapo Dar na tukio lilikuwa kipindi cha magu
  13. Bahati furaha

    Mistari yenye rangi katika monitor ya PC

    Ninapo tatizo hilo hata nikiweka external monitor
Back
Top Bottom