Search results

  1. Attache

    Can Democracy and Development be pursued by ignoring the local cultures?

    Kumekua na maneno mengi kuwa demokrasia ya Africa ima-fail na wengine ku-mock kuwa demokrasia imetushinda wa Africa na hivyo tugeukie mpira. Swali ni kwamba where did we go wrong? Ni kweli Demokrasia imetushinda au ni kwamba kuna namna ambayo tunaweza ku Africanize political systems na ku-come...
  2. Attache

    Uzito wa shukrani, shukuru hata kwa kidogo

    Habari wanajamvi. Kuna kitu nimki experience muda si mrefu uliopita nikaona ni vema ni-share nanyi. Nina ndugu yangu ambaye ni mjane na hali yake ya kimaisha si mazuri sana. Wakati ninahangaika kutafuta ajira alikua akiniombea sana na kunitia moyo, Mungu akanijaalia kazi na nilipomuarifua...
  3. Attache

    Ni kweli kuwa kuna watu ukiwa na uhusiano nao unafanikiwa kwenye vitu vyako?

    Habari wanajamvi, Kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa mpenzi wake aliwahi kumuambia (kipindi wanaanza uhusiano) kuwa mpenzi wake a zamani wake alimuambia kuwa kila akiwa naye madili yake yanatiki sana. lakini akijaribu kumuacha mambo yanavurugika vibaya mno. Huyo msichana akasema kuwa alienda...
  4. Attache

    Hivi UKIMWI na Ebola, sio biological weapons?

    Leo nilikua ninaangalia documentary ya unsealed conspiracy files, na kwenye episode ya kwanza na ya pili walizungumzia sana masual ya biological weapons, yani the creation and use of diseases to perish other human beings.From the same documentary inasemekana kuwa kuna some scientific evidence...
  5. Attache

    Ndoto ya sehemu niliyowahi fika lakini si kwenye maisha ya kawaida

    Habari za leo wakuu. Ninaomba kwa anayeweza anisaidie ufafanuzi wa suala hili. Jioni hii nilipokua nimetulia nikakumbuka ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo. Ndoto hiyo ilikua ni kama ninatembea usiku na jamaa ninaye mfahamu (japo simfahamu kiuhalisia ila kwenye ndoto nilikua nahisi kama...
  6. Attache

    Mwenye shida ni mimi au wakwe zangu?

    Nimeoa mwanamke wa Tukuyu na hivi sasa tunaishi Tanga ambapo ndio ninafanya kazi na wazazi wa upande wangu wana-reside Tanga pia. Tatizo ni kwamba wakwe wanapenda sana mke wangu awe anarudirudi nyumbani kwao. Mwaka jana kikazi nilikua Moshi na kipindi cha christmas walikua wanakomalia sana...
  7. Attache

    Mbegu za GMO na mipango ya New World Order, tunaenda wapi??

    Henry Kissinger (Political scientist, Diplomat, pia aliwahi kuwa secretary of States) now ni mmoja wa wanaochochea sana New World Order (au Anglo-American Order kama mchambuzi mmoja anavyoiweka) aliwahi sema "Who controls the food supply controls the people; who controls the energy can control...
  8. Attache

    Nimepoteza hamu kwa mke wangu,nifanyaje?

    Ni muda mfupi tangu nimuoe mke wangu na tumebahatika kupata mtoto wa kiume mwaka jana. Tatizo ni kuwa,muda huu mke wangu kaongeza mapenzi kwangu ila mimi simpendi tena kama ilivyokua zamani na hata hamu naye imepungua. Sina nyumba ndogo na sijawahi kutoka nje ya ndoa hata mara moja wala sina...
Back
Top Bottom