Search results

  1. Bolizozo

    Sura za KUFA Mtu

    Huyu ni mwanamume wa kweli!
  2. Bolizozo

    Hivi tuna haraka sana eeh?

    Wameandika kuwa...mti wanye matunda mazuri...mmmh sie sawa! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  3. Bolizozo

    USHINDI wa Obama ni fundisho kwa wapinzani nchini Tanzania

    Ni kweli iwapo CCM haitadiriki Wizi wa kura, Vitisho, Uongo na Rushwa! Muwe wakweli na Mungu atawabariki kinyume chake mtalanika Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  4. Bolizozo

    Mweeeh! CCM Jamaniii

    Ndo maana wametufikisha napa. Chezea CCM wee!
  5. Bolizozo

    Wanawake Kwa Vituko, mie simo hapoo

    Kumbe zafanana, tofauti na midume
  6. Bolizozo

    Tumetoka mbali sanaaaaaaaa

    Raha haina Uzee. Nafasi ikipatikana itumike. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  7. Bolizozo

    This looks pretty innocent, right?

    Mmmmh Mbuzi Mzee ni hatarious
  8. Bolizozo

    Nini Kinaendelea Hapo chini-Kuna Shule Kweli Hapo au Ndio Laana tunajitafutia, AAAAKH

    Ipi bora,style hiyo au kutafuta Mjamaa wa kumtimbinya?
  9. Bolizozo

    Anayeshindwa uchaguzi wa ndani CCM na kulalamikia rushwa ni mnafiki

    Mbona hata Mheshimiwa sana Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu aliidhinisha rushwa kwa kusema hiyo ni Takrima na sawa kutolewa. Amesahau? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  10. Bolizozo

    Usijaribu hili kwenye HARUSI yako...

    Kweliii, cku hizi gagulo hazivaliwii! Ckujua hilo, ntamweleza mke wangu aachane na magagulo! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  11. Bolizozo

    We namba ngapi hapo?

    Namba 3 mjomba! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  12. Bolizozo

    CDM na Tanzania ninayo itaka

    Mbona wanashindwa? Hamna utashi bali porojo tu.
  13. Bolizozo

    Tanzia: KakaKiiza (JF Member) afiwa na Mkewe!

    Pole sana kaka, tuko pamoja nawe
  14. Bolizozo

    Jafo kupokelewa kishujaa kisarawe!!!

    Mmmmh mwanawane, hawa wajomba nomaa kweli kweli,! Wanalipika, linawashinda wakikosolewa wanakimbilia kuliweka sawa na kisha kujiita shujaa wakati hoja iliibuliwa na mtu mwingine? Hivi hansard za Bunge hazioneshi ni Mbunge gani aliyeshughulikia hoja maalumu ya kupinga fao la kujitoa? Ushujaa wa...
  15. Bolizozo

    How to prevent cheating

    Innovation is the tool for improvement. Safi sanaaa, ninakubali! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  16. Bolizozo

    Wife and Husband

    Ni ukweli kwenda mberee! Bravo.
  17. Bolizozo

    Kauli ya werema bungeni, mtazamo wangu!

    :A S 465::A S 465:Ni dhahri kuwa Kauli ya Werema ilimlenga moja kwa moja Tundu Liso kwani ndiye aliyekuwa akijibiwa hoja yake kwa wakati huo. Matusi au maneno ya kejeli na dharau si kitendo cha kiungwana kwa mtu yeyote mwenye akili timamu. Aidha kuunga mkono Tabia mbaya kama alivyofanya Naibu...
  18. Bolizozo

    Serikali imetoa agizo leo la kusimamisha withdraw kwa wanachama wote wa hifadhi za jamii

    :A S 465:Sera na sheria hazitangazwi na Meneja wa Tawi moja la Hifadhi ya Jamii. Wasemaji wa NSSF au SSRA wako wapi ili watoe tamko Hilo rasmi na taratibu za utekelezaji wake pasipo kuleta mtafaruku kwa wanachama wa hiyo mifuko!
  19. Bolizozo

    Mambo ya uswazi

    Huyu ni mwanamme au mwanamke? Hana matiti, hivyo cyo mwajnamke pia hana kifaa hivyo ananipa mash aka ya ujinsia wake ndiyo maana Hana hofu ya kuoga popote!
  20. Bolizozo

    Je huu ni uungwana?

    Huu si uungwana kabsaaa! Hivi huyu kijana mshamba asipo muowa huyu demu mbumbumbu, si atakuwa amemwaribia future yake. Mtu gani wa maana atataka kuwa na mke mwenye history chafu kama hiyo picha inavyojionesha. Au itawezekana JK akamteuwa mwanamke kama huyo kushika nafasi yoyote ya madaraka?
Back
Top Bottom