Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 26,257 24,229 Nov 2, 2012 #1 Utashangaa kati yao hapo kuna watakao teuliwa ukuu wa wilaya na mikoa Attachments 406851_441401249254120_1883435978_n.jpg 39.9 KB · Views: 1,346
Mzee wa Rula JF-Expert Member Oct 6, 2010 8,171 3,346 Nov 2, 2012 #2 Hapo mtu anauhakika kwa sababu keshachukua mlungula wake sasa kilichobaki ni kuserebuka tu.
Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 26,257 24,229 Nov 2, 2012 Thread starter #4 Chakushangaza kesho kati yao hapo utashangaa kapewa kiti maalumu
Sabung'ori JF-Expert Member Jul 19, 2011 2,166 1,247 Nov 2, 2012 #8 ...hakuna kitu wanacho juu vizuri sana kama hicho unachoigiza hapo kwenye picha...
Bigirita Platinum Member Feb 12, 2007 15,991 7,377 Nov 3, 2012 #10 Umslpogaaz said: View attachment 70240 Wanachojua CCM ni hiki! Click to expand... Hahahahaaha....... Wana fani nyingine tena.....hii hapa
Umslpogaaz said: View attachment 70240 Wanachojua CCM ni hiki! Click to expand... Hahahahaaha....... Wana fani nyingine tena.....hii hapa
Nicole JF-Expert Member Sep 7, 2012 4,274 2,514 Nov 3, 2012 #11 Hahahahah umeua! Bigirita said: Hahahahaaha....... Wana fani nyingine tena.....hii hapa View attachment 70241 Click to expand...
Hahahahah umeua! Bigirita said: Hahahahaaha....... Wana fani nyingine tena.....hii hapa View attachment 70241 Click to expand...
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,282 Nov 3, 2012 #12 Ciello said: Hahahahah umeua! Click to expand... walipigana makonde balah
Dotworld JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,035 3,773 Nov 3, 2012 #13 Bigirita said: Hahahahaaha....... Wana fani nyingine tena.....hii hapa Click to expand... Bigirita umesahau ... hiyo fani imekua siku hizi ... imefikia Hapa!!
Bigirita said: Hahahahaaha....... Wana fani nyingine tena.....hii hapa Click to expand... Bigirita umesahau ... hiyo fani imekua siku hizi ... imefikia Hapa!!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,020 156,472 Nov 3, 2012 #16 Umslpogaaz said: View attachment 70240 Wanachojua CCM ni hiki! Click to expand... Hiki chama cha ngono zembe bwana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Umslpogaaz said: View attachment 70240 Wanachojua CCM ni hiki! Click to expand... Hiki chama cha ngono zembe bwana
Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 26,257 24,229 Nov 3, 2012 Thread starter #17 Hao ndio magamba bwana
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Nov 3, 2012 #19 Dotworld said: Bigirita umesahau ... hiyo fani imekua siku hizi ... imefikia Hapa!! Click to expand... Huyu msomali wa ccm huyu!! dalili za chama kinachokufa
Dotworld said: Bigirita umesahau ... hiyo fani imekua siku hizi ... imefikia Hapa!! Click to expand... Huyu msomali wa ccm huyu!! dalili za chama kinachokufa