Search results

  1. moto2012

    Msaada kuthibitisha kampuni ya uuzaji wa zana za kilimo ya Seroto ka Africa (PTY) LTD ya Afrika Kusini

    Wakuu nawaombeni msaada kujua kama hii kampuni wanaaminika kwenye kuuza na kusafirisha hayo matreka. Niliona trekta la kunifaa kwenye website yako, gharama zote including usafirishaji nililipa dola 5,795. Cha ajabu msafirishaji (courire) waliyempa hiyo kazi anadai kwa sheria za SA ni lazima...
  2. moto2012

    Swali: Je wasimamizi wa uchaguzi wanapaswa Kuwa na vitambulisho?

    Nipo kituoni hapa Iringa kihesa kituo cha kilimani, naona wadada na wakaka Wana t shirt na kofia zenye nembo ya Tume ya uchaguzi, Je hivi ni vielelezo tosha? Hawapaswi kuvaa vitambulisho? Naomba ufafanuzi tafadhali...
  3. moto2012

    Naomba msaada kupata hizi article online

    Ninaandika proposal ya research flan (Community/medicine), kila article ninayo-google inakuja vizuri, lakini napata abstract tu, nikitaka kupata full research/reference naambiwa log in au ninunue. Sina hizo dolari, hivi hakuna njia rahisi/software ya kupakua hivyo vitabu? Kwa mwenye uelewa wa...
  4. moto2012

    CHADEMA na sera ya majimbo/kanda na mpango wa uendelezaji wake - ushauri

    Wapendwa wana Jf, Napenda kumshukuru Mungu kufikia mwishoni mwa mwaka salama, na ninazidi kumwomba atuvushe hadi mwakani salama salmini. Awali ya yote ninapenda kuweka wazi mimi si mfuasi na sina kadi ya chama chochote cha siasa, ila nimekuwa nikifuatilia masuala mbali mbali ya kiuchumi na...
  5. moto2012

    Msaada -jinsi ya kudownload drivers za conon ir 2318 for printer & scan gear

    Hi wakuu, Naomba msaada wa link au kunipa maelekezo yatakayo niwezesha kudownload drivers za cnon Ir2318 CC MziziMkavu Mwl.RCT, Mkwawa, watu8 na wengine
  6. moto2012

    Makato ya fedha katika mabenki (Excise duty)

    Leo nimekuwa katika bank ya NMB nikifuatilia mambo yangu, bahati mbaya nilichelewa kupata huduma iliyonipeleka. Kwa kipindi nilichokuwa hapo kuna wateja kama watatu walikuwa wakilalamikia makato yasiyo na maelezo yenye tija ambayo walibaini katika bank statement zao. Nilibahatika kusikia...
  7. moto2012

    Mrembo ukinitosa leo, nakuombea tukutane peponi

    Nawashanga wadada mnaowachomolea wakaka wakati mnatamani kuingiapeponi. Huko kutakuwa na equal chances, na hao mnao wakataa ndio mtakuwa mnawapa burudani
  8. moto2012

    RamaDBK LTD Japanese Car Exporter

    Wadau naombeni msaada wa kuwajua Hawa jamaa, nataka kununua gari kutoka kwao, naomba kujulishwa hawajamaa ni wa kuaminika? Na condition ya magari yao ipoje? On average ni Siku ngapi nitasubiri? Msaada tafadhali kwa wenye uzoefu nao
  9. moto2012

    Nokia lumia 520-msaada unlocking

    Naomba msaa wa kupata PIN/CODES au technique ya ku-unlock nokia Lumia 520, ni brand new, ila nimeshindwa kuingiza PIN zake
  10. moto2012

    Niende na kondom au hela?

    Wadau samahani, najua leo ni siku ya kazi! Nimeangukiwa sijui niseme na bahati ya mtende au balaa!Saa 10 usiku wa leo mrembo mmoja ambaye nimemsotea zaidi ya miaka 3, kanitumia sms kwa WhatsApp just hi, nkaanza kuchat nae, nikampleka peleka peleka amenipa apointment ya saa 4 Asubuhi hii kwenye...
  11. moto2012

    Mgogoro kati wa maisha (midlife crisis)

    Wapendwa wana MMU wenzangua. Ni jioni nyingine tena napenda kuwashiriksha juu hili tatizo la Mgogoro kati wa maisha ambao huwakumba watu wengi walio katika kipindi cha mpito yaani kuhama kutoka ujana na kuingia utu uzima. Aghalabu katika kipindi hiki ndoa/mahusiano mengi huvunjika na pia kuna...
  12. moto2012

    Tatizo ni nini hasa? - wanaume na wanawake tujadili

    Asalaam aleykhum wana MMU wenzangu. Imekuwa ni suala la kawaida kwa wake/wapenzi/hawara zetu kulalamika kuwa hawafikishwi kileleni katika suala zima la tendo la ndoa/ngono. Na hivyo basi imekuwa ni jambo llilizoeleka kwa wanaume walio wengi kutumia ndimi zao kulamba papuchi au kutumia vidole vya...
  13. moto2012

    CHRISMAS NA MWAKA MPYA KATIKA PICHA-Tupia yako, ulikuwa wapi, and how was it!

    Hawa ni mabinti/Vigori wa Kimang'ati wakiwa wamejipanga tayari kwa kuchaguliwa wachumba na hatimaye kuolewa. Tukio hili hufanyika kila sikukuu kubwa kama Xmass, mwaka mpya na Pasaka Na hawa vijana wa kimang'ati ndio waoaji, huruka juu na kutoa ishara kwa mabinti vigori wa upande wa pili...
  14. moto2012

    Shindano: Mr. Yahaya wa jf

    Wanajamvi, Jf ni jamii ya watu wenye tabia, mienendo na taaluma mbali mbali! Kuna mada mbali mbali zinatolewa hapa na watu tunajimwaga kuchangia. Tunawajua matajiri wa hapa Jf, nadhani tajiri wa kutupwa ni Bishanga. Mtu mwenye wake wengi ni Paw, Mwenye vimada wengi ni erickb 52, nadhani umefika...
  15. moto2012

    SHEDO-Mazingira, Kanuni na taratibu

    Wapendwa wadau wa jukwaa hili, sina hakika kama hapa ni sehemu sahihi ya post yangu! Naomba kuweka wazi, mimi ni Me, hii kitu inayoitwa shedo wanayojipakaa wadada inanipa shida. Nawaomba wadada, mnaopenda na kujua hii kitu mnifafanulie juu ya haya yafuatayo 1. Mazingira yapi ni sahihi...
  16. moto2012

    Mwonile wana c-c

    MziziMkavu hii ni salamu ya Lugha yetu adhimu yenye mamlaka kwa watu waliondani ya ubongo na mtima wangu, bro nakupa hii hadhi, wengine ni Wiyelele-huyu amepotea jukwaani, Preta, tayari nishampa zake, Bujibuji tokelezea pokea zako, King'asti umepoa sana mama, snowhite-uyimwiki kamwali? Fixed...
  17. moto2012

    Ujumbe wa shukrani baada ya kufunga ndoa na kumaliza fungate

    Ingawa inaaminika siku hizi waowaji hawapo ila nawapa big up wale wote walitimiza tukio/tendo hili adhimu la kufunga ndoa, sitaki niulizwe kama nimepitia hii kitu au la, ila kwa hisani ya my waifu Preta, nitasoma maoni yenu ila sita jibu Kifupi nimeshangazwa kutumiwa kaujumbe kafuatako na...
  18. moto2012

    Kuwadi first class wa hapa cc anahitajika

    Wapendwa wa Jukwaa hili! Nimekuwa nikifuatilia mashindano na tuzo mbali mbali zinazotolewa kwa members wenye sifa mbali mbali hapa CC, mfano ile ya "Best couple" Nimeshawishika kuleta hii khabari/jambo hili hapa tumpate mtaalam wa ukuwadi, akishapatikana-kuna kazi nataraji kumpa kwa malipo...
  19. moto2012

    RAV 4 OLD MODEL INAUZWA 11m

    Habari wana Jf Toyota RAV 4 ya mwaka 1995, ni nzuri na Imara, in good condition with good fuel consumption, unaweza kuipata kwa 11million, maelewano yapo. Kwa sasa gari lipo Iringa Kwa mawasiliano 0765 522 665 /0654 384 885
  20. moto2012

    Goodbye my dear @preta

    Najua nilikuaga Mpenzi wangu Preta, najua ulinisikia, na ninahakika huna amani kwa safari yangu! Ni vigumu kujitenga nawe, huko Tabora ninakoenda na idadi ya siku nitakazo kaa hakika zitakuwa ngumu na nyingi sana kuliko siku zote ambazo nimeishi hapa duniani! Preta Mpenzi, kimwili nitakuwa...
Back
Top Bottom