Search results

  1. Bangusilo

    Paka anyofoa nyeti za babu; Akimbia na kuzila

    Maajabu Wednesday, 23 February 2011 09:29 *Paka anyofoa nyeti za babu *Akimbia na kuzila Na Waandishi Wetu, Manyara MAJONZI na masikitiko vilisababisha kikao cha wazee kuvunjika ghafla baada ya mzee mmoja kunyofolewa sehemu zake za siri na paka aliyekimbia nazo. Tukio hilo limetokea...
  2. Bangusilo

    Nashukuru Nimepata mpenzi

    Ndugu wana JF Wengi nadhani mliliona tangazo hili "natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu, mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45 awe anaishi dar es salaam" Baada kusota benchi kwa miezi 8 bila timu wala kuchakachua...
  3. Bangusilo

    natafuta mpenzi

    natafuta mpenzi wa kike kwa ajili ya mahusioano ya kudumu, mimi ni mwanaume single na ninaumri wa miaka 25, ningependa awe na umri wa kuanzia miaka 32-45 awe anaishi dar es salaam
  4. Bangusilo

    CDA inahitajika?

    CDA, Capital Delevelpment Authority ni inamiaka zaidi ya 30, matokeo yake wote tunayajua, je yastahili kuendelea kuwepo, Tujadiliane
  5. Bangusilo

    form 6 2008 results

    Goodmong everbody!, ACSEE-2008 results are out But u have to know center number or registration number of the candidates, for center number you can get it here http://moe.go.tz/NectaResults/MATOKEO%20MAY%202007/alevel.htm then after copy it, you just paste it here
  6. Bangusilo

    Serikali na malipo kwa 'wafanyakazi hewa'

    Na Ramadhan Semtawa, Dodoma UFISADI umezidi kuitikisa nchi baada ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma kubaini mtandao mkubwa ambao umesababisha malipo hewa ya Sh3.4 bilioni kwa walimu wa shule za sekondari nchini. Kubainika kwa ufisadi huo kumekuja miezi michache baada ya gazeti...
  7. Bangusilo

    Hivi huu ni utu jamani?

    Nipefungua hii blog, nimekuta habari ya kusikitisha sana! http://michuzijr.blogspot.com/2008/03/sio-sawa-hata-kidogo.html#comments Imenigusa sana habari hii, hivi ni utu kweli, hata kama ni kusafisha jiji. Jiji lenyewe kama kijiji kikubwa tuu hakuna cha maana wala nini kwa nini?.
  8. Bangusilo

    Fidel Castro announces retirement

    Cuba's ailing leader, Fidel Castro has announced he will not return to the presidency in a letter published by official Communist Party paper, Granma. "I neither will aspire to nor will I accept, the position of president of the Council of state and commander in chief," he wrote in the...
Back
Top Bottom