Search results

  1. S

    Edward Lowassa anaitumia vizuri degree yake ya maigizo!

    Ng'wamapalala you should know better. Unajua kabisa kwamba kitendo cha madiwani, wenyeviti wa vijiji etc huko Arusha kuhama CCM kwenda Chadema is a real consequence of the flawed CCM nomination processes that recently took place in Dodoma. Sasa unaposema haya ni maigizo una maana gani, wakati...
  2. S

    Team Lowassa walikuwa disorganised!

    Lowassa akiwa siyo mbishi CCM watamtuliza kama walivyomtuliza Malecela 2005. Na hiyo ndo itakuwa Plan B yake ya maana.
  3. S

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Inashangaza pale serikali inaposhawishi watu wake walioko nje ya nchi kurudi nyumbani kutumia taaluma walizozipata. Kwa somo kutoka alichofanyiwa Balali na Dr. Masau, tutabanana huku huku. Bora kutumiwa na wanaotuthamini. Serikali nafiki hatutaiweza, inang'ata na kupuliza. No uzalendo at all.
  4. S

    Watanzania Wanapodharauliwa na Kutukanwa

    Kwa kweli inashangaza pale Rais wa nchi anaacha kuangalia mambo ya maana yanayoikumba nchi na kuhangaika kwenye nonsense agendas ikiwa kuiangamiza historia ya Tanzania. Kwa kweli huyu Rais si chaguo la Mungu wala wanadamu, labda la Freemasons.
  5. S

    Mfadhili wa CCM ajiunga na CHADEMA

    Big up Chadema! the tree that doesn't bare fruits (magamba) got to go down!
  6. S

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Kwani CCM mbona wasianike kwa wananchi hela wanazopata kwa wafadhili? sana sana wameiingiza nchi kwenye hasara na umasikini mkubwa kwa kutumia hela za wananchi kwenye uchaguzi wakimtumia Rostam kama mgongo wao. Tena wananuka hawatoweza kamwe kujisafisha. Let Chadema takes a lead coz CCM mmezeeka...
  7. S

    Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

    Hivi jamani hii tabia ya jeshi la polisi kupenda kutumia umbea kujitetea imetoka wapi? Haiwezekani muhusika kapayuka tu coz hana akili nao waseme ndo mwenyewe. Kwanza huyu mtu wangetakiwa wamuache akili irudi vizuri, afu watumie tumu huru na wana psycholojia kumhoji, na kutumia vifaa kufanya...
  8. S

    William Malecela na Ajali za Kisiasa

    Mi nahisi baba yako inabidi akuite akufunde. Pia kama vile ulikosa mapenzi ya mama? coz hiyo kujishika sana na akina dada sio kawaid. Perhaps kuna stage in puberty uliiruka and its taking place while your almost aging. Au ndio kudhani utawakomoa hao vimwana na wake zako uliowaacha Lemutuz LeBaharia?
  9. S

    Kikwete for London Family Planning summit

    Kwanza inanishangaza Rais wa nchi kwenda kujadili mambo ya uzazi wa mpango na kuacha mambo mengine ya muhimu zaidi, ikiwemo kutafuta suluhisho la madaktari. Kwani alikosa mwakilishi yeyote kutoka hata wizara ya afya au kwenye taasisi na wanaharakati kama TGNP na kadhalika? Hata mke wake mama...
  10. S

    Family planning na uhuni wa wazungu

    Hawa waliokuja na hizi pingamizi nao bunyeye tu. Eti gharama za contraception ni nyingi over ya kununua ARV for HIV? what is the best solution?...prevention of the HIV/AIDS by providing contraceptives or kusubiri wapate HIV/AIDS ili wawape ARV? eti vijana wanafanya ngono sana coz of...
  11. S

    Taasisi ya Moyo Tanzania yafungwa!

    Yaelekea Dr. Masau aligoma kutoa fungu...maana hii inchi bila rushwa hata biashara yako inafungwa. Au hana kadi ya CCM? coz I used to see watu wanaweka eti picha ya president au vipendera vya magamba kwenye biashara zao ili zisifungwe. Huu uzalendo mchwara huu?
  12. S

    Who cares

    Anatafuta green card
  13. S

    Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    Jamani muwe pia mnaenda na fact. Kama waliosoma ni wachache, msishange kuwaona wachache kwenye mawizara.....elimu ya madrasa haitoshi...labda uwe mfagiaji.....
Back
Top Bottom