Watanzania Wanapodharauliwa na Kutukanwa

Kama vipi ikiwezekana mabango yote yawe yamefika kwenye vijiwe vya chuma chakavu kesho asubuhi. huu ni usenge mtupu
 
Mkuu janga la taifa ni neno ndogo. Kikwete is a disaster for tanzania
Sijapata ona Rais kituko kama uyu..what has Mwaikibak done in Tanzania,E.A Nations or Africa in large.,hizi fadhila zina nin ndan yake...uyu jamaa jins muda unavyoenda CV yake inaporomoka...
 
Napatwa na hasira kweli kuiona picha ya Kikwete popote pale. Yaani ni hasira mbaya sana !
acha utoto wewe, mbona samora kapewa barabara nzuri katikati ya jiji wakati huyo samora alikuwa raisi zuzu la africa? Hongera kikwete kwa kumpatia raisi wa kenya jina zuri la heshima . Nujoma kapewa barabara wakati ni bronzo la kukubuhu, mwai kibaki na sifa nzuri za kujenga taifa bora la nguvu za uchumi africa, lazima aenziwe na sisi. najua ungefurahi sana kama ungesikia jina la mtu kama arafat au ahmedinejad wanpewa heshima hiyo, kwa sababu ni ma anti west.
 
Kama vipi ikiwezekana mabango yote yawe yamefika kwenye vijiwe vya chuma chakavu kesho asubuhi. huu ni usenge mtupu

Wadau fanyeni kweli hiyo bango lipelekwe kwenye chuma chakavu kabla ya watu kulijua hilo jina. Hatumtaki huyo mkenya kubali kwenye akili za watanzania !
 
Watanzania msiwadanganye watoto na vijana wetu. Pale Nairobi kuna barabara ina majina ya maraisi wetu wa sasa na zamani. Pale chini ya Ikulu ipo barabara yaitwa Nyerere road. Then ipo nyingine japo fupi yaitwa Kikwete. Mi sioni shida hapa. Kumbuka pamoja na matatizo ya Kenya , Mwai Kibaki anabaki kuwa rais wa kwanza kuachia madaraka baada ya mihula miwili.Hatuwezi kuwa watu tunaopinga tu kila kitu
 
Msijali bhana ameongea kinyume,mbona mshikaji wetu anapiga misele daily
 
Watanzania msiwadanganye watoto na vijana wetu. Pale Nairobi kuna barabara ina majina ya maraisi wetu wa sasa na zamani. Pale chini ya Ikulu ipo barabara yaitwa Nyerere road. Then ipo nyingine japo fupi yaitwa Kikwete. Mi sioni shida hapa. Kumbuka pamoja na matatizo ya Kenya , Mwai Kibaki anabaki kuwa rais wa kwanza kuachia madaraka baada ya mihula miwili.Hatuwezi kuwa watu tunaopinga tu kila kitu

Basi kama ni hivyo ni bora tungeeiita "Prezzo St", Robert Ouko, Daniel ARap Moi lakini siyo kibaki
 
Dah hyo road inanuksi sana,from the orignal bagamoyo road,to oldbagamoyo road now ts old old bagamoyo road(for currently ni k.b road)waitn 4 t 2b updated again.
 
Watanzania msiwadanganye watoto na vijana wetu. Pale Nairobi kuna barabara ina majina ya maraisi wetu wa sasa na zamani. Pale chini ya Ikulu ipo barabara yaitwa Nyerere road. Then ipo nyingine japo fupi yaitwa Kikwete. Mi sioni shida hapa. Kumbuka pamoja na matatizo ya Kenya , Mwai Kibaki anabaki kuwa rais wa kwanza kuachia madaraka baada ya mihula miwili.Hatuwezi kuwa watu tunaopinga tu kila kitu
kuachia mihula miwili ina maana katiba haimruhusu au?acha kupotosha unafanya kama kaachia madaraka kwa hiari
 
acha utoto wewe, mbona samora kapewa barabara nzuri katikati ya jiji wakati huyo samora alikuwa raisi zuzu la africa? Hongera kikwete kwa kumpatia raisi wa kenya jina zuri la heshima . Nujoma kapewa barabara wakati ni bronzo la kukubuhu, mwai kibaki na sifa nzuri za kujenga taifa bora la nguvu za uchumi africa, lazima aenziwe na sisi. najua ungefurahi sana kama ungesikia jina la mtu kama arafat au ahmedinejad wanpewa heshima hiyo, kwa sababu ni ma anti west.

tango kweli kweli. Km umerogwa vile
 
Tanzania is the centre for political stability in EAC,therefore in doing that we still floating in our water bodies and appriciate the beautify of our Nation in any forms of wisdom and blessing given to us by Almight God.

So dont make it has a part of evil forms of madharau.
 
Old bagamoyo is historic name, why kibaki road? What happen?

Mkuu hata mimi nakwazika na hilo. Kwanini tunafuta historia yetu? Nadhani ingekuwa vizuri kama vitu/barabara/mitaa mipya ndio ingepewa haya majina. Hili lingeleta changamoto kwetu na kujitahidi kujenga vitu vipya.
 
Kwa kweli inashangaza pale Rais wa nchi anaacha kuangalia mambo ya maana yanayoikumba nchi na kuhangaika kwenye nonsense agendas ikiwa kuiangamiza historia ya Tanzania. Kwa kweli huyu Rais si chaguo la Mungu wala wanadamu, labda la Freemasons.
 
Back
Top Bottom