Search results

  1. tony22

    Nimepewa buku tano na trafiki

    Amekupa kwa nia njema we umeanza mfikiria vibaya
  2. tony22

    Viettel acheni kutudharau Watanzania

    Nyambafu ka vp pita hivi… ukijiuliza unaenda wap?
  3. tony22

    Hawa ndio Panya Lody Jeshi letu la Polisi linasumbuka kuwakamata?

    Itabidi mikakati kabambe ifanyike na kuongeza nguvu ya ziada
  4. tony22

    kuna nini ikulu mbona ukoo wa panya wamechachamaa?

    Ikulu ishakua dili wanachangamkia fursa
  5. tony22

    Wanandoa wanapowasiliana kwa SMS Ndani!!!!

    bonge ya movie asee dah! nimecheka mpaka basi... waache wana-renew mapenzi yao
  6. tony22

    Meno ya Tembo yakamatwa Uwanja wa ndege Dar...

    Mhh! hiyo airport hiyo itakua aina walinzi kwa kweli, na ambayo haikukatwa sasa???????
  7. tony22

    enzi izo...

    hii ni mwisho wa nyote
  8. tony22

    Furahia picha zangu za leo

    huyu kashahama kwenye kundi la binadamu sasa ni amoeba, pata picha akiwa toi.
  9. tony22

    Furahia picha zangu za leo

    hawa watakua mapacha duh!
  10. tony22

    Msanii Langa afariki Dunia!

    Apumzike kwa amani-LANGA
  11. tony22

    Matumizi ya website ya Wizara ya Elimu

    kweli mkuu hapa ni uwizi tu wa pesa za walipa kodi
  12. tony22

    bila simu yangu...

    siwezi kukokotoa hesabu soli zingeisha nikimtafuta mtu...
  13. tony22

    Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

    embu na nyie jaribuni kuunganisha dots.. tuone tatapata jawabu gani tembelea hii link LI Statement on International Day against Homophobia 2013 - Human Rights - Politics - Liberalism
  14. tony22

    Utata Kuhusu Rafiki yake Mangwea..Habari zingine zinasema Kafariki ..Zingine zinasema yupo Hai

    LIKUD taarifa zimakanushwa muda huu na millard ayo aliepo huko SA namnukuu "millardayo.com ‏@millardayo 35m #BREAKING Sio kweli kwamba m2theP kafariki, ni mzima ila anapumulia mashine, kafungua macho na kunyanyua miguu dakika chache...
  15. tony22

    Kila kitu used hii nchi( hadi ajira used)

    kwa hiyo mpaka kieleweke, duh! hayo mauaji ya kimya kimya ni hatari
  16. tony22

    Rais Kikwete Ziarani Japani

    haya bhana mkuu wa kaya, usisahau kutuletea mikate ya huko.
  17. tony22

    P.Funk majani amekataza nyimbo za Ngwair kupigwa CloudsFm

    R.I.P hiyo ni kufa kufaana
  18. tony22

    Dkt. Slaa Kutua Mbagala (Mianzini) Kesho...

    hapana ni kwamba tunajenga kuanzia mizizi nyie mnayoyadharau hamjui huku ndo kufilisika kwenu kisiasa? mmezoea kujikweza sana ndo maan unashangaa hii hatua.
Back
Top Bottom