Search results

  1. N

    Mfanyakazi wa ndani anahitajika

    Mama mwenye watoto watatu anahitaji Dada wa Kazi ! Anaishi Mbezi Louis, Mtoto wa kwanza anasoma Grade II, Wa pili yupo Nursery school na wa Tatu hajaanza shule. KAZI: Kupika, Kufua, Usafi wa ndani na kuangalia watoto kwa ujumla wakisaidia na Mama. Akiwa Mkristo ni vizuri zaidi kwani Jumapili...
  2. N

    Watu hawa ni hatari kuiba pesa kwenye Tigopesa

    Wadau naomba niwashirikishe jambo hili ambalo limenishangaza hasa baada ya kuwapigia kampuni ya TIGO wakapiga danadana bila kutoa majibu yanayoridhisha. Kuna Mtu au watu wana namba za Tigo, wanakupigia simu wanajitambulisha kuwa wanapiga simu kutoka TIGO na kwamba wanataka kukuboreshea huduma ya...
  3. N

    Mwenye nyumba anatembea na mke na notice juu

    Jamaa yangu wa karibu amepanga maeneo ya Mbezi, na mwenye nyumba anaishi nyumba ya pembeni. Jana kaja kwangu anataka ushauri, nikamwambia asubiri niongee na wazee then nitamjibu ! Ni hivi, huyo bwana ameishi kwenye hiyo nyumba miaka 2.Mwezi wa pili Baba mwenye nyumba katoa notice kuwa mkataba...
  4. N

    Mtoto anakunywa maji kiasi cha kutisha

    Ni mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane. Usiku analala usingizi wa vipindi vifupifupi huku kila mara anaposhtuka usingizini huomba maji. Anapopewa anakunywa glass nzima akimaliza analala kidogo. Baada ya muda kama saa moja huamka tena na kudai maji, mama yake akichelewa...
  5. N

    Mizengwe president's delivery bureau

    Ndugu Wana JF, Ni kweli Prtesident's Delivery Bureau (PDB) walitangaza nafasi nyingi na tayari wameshaanza kufanyisha watu Interview kupitia Deloitte. Cha kushangaza pamoja na usahili kufanywa na Deloitte ambayo ni kampuni nayojitegemea, yale mambo ya Technical Know Who badala ya Technical...
  6. N

    Majanga, anajenga jirani na nyumba ndogo bila kujua

    Jamaa amezaa na mwanamke mtoto ana umri wa zaidi ya mwaka. Mwanamke alitaka amuoe lakini jamaa kampiga chini kaenda kuoa mwingine. Jamaa huwa anakutana na nyumba ndogo na kumpa matumizi ya mtoto. Juzi juzi nyumba ndogo alimwambia jamaa amehamia kwake Makabe na akamuomba jamaa lift. Jamaa...
  7. N

    Nini kinafanyika kwenye casino?

    Wana JF, Sina hakika kama hili ni jukwaa husika lakini kwa vile nataka kujuzwa naombeni mchango wenu. Nimekua nikiona maeneo mengi yamejaa casino hasa kwenye hoteli kubwa na maeneo kama vile ya kariakoo. Je nani anaweza kunieleza hasa maisha ndani ya casino yakoje???
  8. N

    Nini kinasababisha kusinzia mara kwa mara?

    Rafiki yangu wa kribu sana na tunafanya naye kazi ana tatizo kubwa sana la kusinzia hovyo. Hili tatizo limekuwa linamkosesha raha sana kwani akishapanda kwenye basi tu, say Mwenge kuelekea Posta basi ni vigumu kufika Victoria kabla hajalala. Akiwa ofisini akifanya kazi kidogo tu kwenye computer...
  9. N

    Anamsanifu rafiki yake, kisa mkewe kamdanganya

    Ilianza kama utani, akanza kumlamba mke wa rafiki yake mpendwa. Rafiki yake, (Mwenye mke) kaanza mikwara ambayo haieleweki kwa mkewe akimwambia, ooh,  mbona naona siku hizi mko karibu sana na rafiki yangu. Mikwara ilipozidi, mke akahisi mumewe anaweza kufuatilia na kugundua kinachoendelea...
  10. N

    Nani kati ya hawa kazaa nje ya ndoa ?

    Ni jamaa zangu wa karibu. Mmoja ni X na mwingine Y. Wote wana watoto na wote wameoa. X ana mtoto ambaye kamzaa NJE YA NDOA miaka mitano baada ya kuoa wakati Y ana mtoto ambaye alimzaa miaka mitano kabla ya kuoa. Tatizo ni kwamba Y anaona yuko sahihi kwa vile alizaa kabla ya kuoa na anamlaumu...
  11. N

    Anataka kumuua anayetembea na mkewe, ushauri !!!

    Ni jamaa yangu, kanipigia simu kaniita bar. Nilipofika kanieleza yaliyoko moyoni. Miaka kama minne nyuma aligundua kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa mmoja. Akaendelea kuchunguza akagundua ni kweli akamuonya mkewe. Siku moja akiwa safarini kwenye basi, akampigia mkewe na kisha...
  12. N

    Hakupata mtoto kwneye ndoa, kazaa watatu nje, imekaaje???

    Rafiki yangu mmoja ana miaka takriban ishirini kwenye ndoa ya kikristo. Hakuwahi kupata mtoto kwenye ndoa yake. Baada ya kukaa kwenye ndoa miaka kumi na mitatu, akakutana na dada mmoja muislamu akazaa naye mtoto mmoja, halafu wa pili na wa tatu pia. Anawahudumia watoto wale vizuri lakini bado...
Back
Top Bottom