Search results

  1. UKI

    Msc in Statitics VS Masters of art in Statistics

    Mkuu please review the differences concern your matter. Master's of Arts DegreeTo put it simply, a Master's of Arts degree is a degree option that is focused on areas such as the humanities. Types of subjects where most Master's of Arts degrees are available are communications, English...
  2. UKI

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    wakati mwingine Mungu huwa anakuonyesha dalili zake mapema kuwa kama huyo ni wa kufa na kuzikana, hakika huyo hafai hata kidogo achana nae kabisa ipo siku atakuacha humo ndani peke yako, ki ukweli nakushauri uachane nae sogeza mbele mambo mengine yaendelee,
  3. UKI

    Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    ukweli kabisa hapa ninapata picha halisi haina hata haja ya kuwauliza watu kwenye utafiti wa kula mbolea. nimesoma comments nyiiingi sana ki ukweli karibia 70% wanaonyesha kama wanaupenda mchezo huu ila wanaogopa kusema wazi wazi na ndio wanatoa comments ambazo sio negative halafu 25% wao...
  4. UKI

    Kigogo mzito serikalini shoga

    Mkuu basha hilo neno nahisi limekuja hivi karibuni ila wote ni gays maana wanoshiriki matendo ya jinsia moja wa wanaume wanaitwa gays ila anaegongwa anaitwa bottom gay anaegonga anaitwa top gay na anaegonga na kugongwa anaitwagay vers so woote ni gays hakuna cha afadhali hapo mkuu
  5. UKI

    Kigogo mzito serikalini shoga

    Eee mungu mkubwa nilishakuja na story hapa mdogo wangu alifanyiwa kitendo kichafu na huyu kigogo huyu na kuomba ushauri nifanyeje ila mlinishambulia sana na kwa matusi wengine wakanikebehi sasa nashukuru wengine wameyaona nina mjua kabisaaa na nilishakutana nae kwenye case ya mdogo wangu. Soon...
  6. UKI

    Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Huu ugonjwa nilikuwa siuujui Nilienda hospt maana nilikuwa na tabia ya kufanya mapenzi bila kinga. Jamaa walinipiga sindano tatu za kinga kuzuia ugonjwa huo after 5 yrs ndio nitachomwa tena. Sijui hapa home kama ipo hii huduma
  7. UKI

    Tamko la TRA Kwa Wafanyabiashara Wote wanaogoma Kuhusu Mashine za EFD

    Mkuu hapo kidogo haupo sawa hapo wewe unaZungumzia wafanyabiashara ambao wapo kwenye mfumo wa vat wakati hawa tayari wanazo mashine since 2011 na tayari wanaendelea na biashara zao hawa wanogoma ni wale ambao hawamo kwenye vat registered wanatumia Tin number tu na kitu kikubwa hapa ni kwamba ni...
  8. UKI

    Justi bieber ni noma, hivi ndo alivyoamua kulifanya gari lake. Cheki hapa

    mijitu mingine bana sijui huwa tunatoa maoni kwa kujifanya sisi ni wasafi sana? yaani pesa nitafute mimi matumizi mnipangie nyie?? hii imekaaje?? na zikiisha mtanisaidia tena kuzitafuta? ebu mmpeni break mtoto wa watu atumie anavyotaka zikiisha atatia akili za wapi kuzipata na kuliko kubwabwaja...
  9. UKI

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    mkuu umeleta mada ambayo ki ukweli tukianzia kwa yule wa zanzibar pamoja kuwa na familia ila anavyoharibu watoto wa watu mwenyezi mungu ndio anajua ila kwa sababu sisi watz tulivyo wanafki watatuambia tumetumwa kumchafua ila ukweli hata silaha ya kummaliza kisiasa asichukue uraisi wa zenj na...
  10. UKI

    Msaada digital camera aina gani ni nzuri.

    mkuu kila mtu atavutia kwakwel kwa uzoefu wa camera walizozitumia kwa upande wangu nunua smart camera Galaxy samsung model EK-GC100 mkuu hii ni kama tablet ndogo maana unaweza ku upload picture, kutuma msg kwenye simu ya mkononi maana inatumia line ya simu, kutuma email na mambo mengine kibao,
  11. UKI

    Millad ayo!

    mhmmm mkuu una jinsia gani aisee? kwanini tusimpongeze kwa kazi yake nzuri kuliko kuandika sifa moja baada ya nyingine?
  12. UKI

    Nini ufanye ndani ya chumba cha interview...

    ha ha ha ha kongosho wewe ni noma na mchokozi mr charles kachanyikiwa duh na mtu kapata kazi faster, ila interview hii labda muwe wawili tu ila kama ni zaidi ya wawili wanaokuuliza maswali huwezi hii kitu, ni full drama usiwadanganye dada zetu wakafanya hivi aisee wataonekana wote malaya,
  13. UKI

    Masikitiko yangu makubwa sana kutokana na mfumo wa uajiri wa bank ya NMB

    JIbu: ukimuuliza swali HR atakujibu kuwa kuna utofauti aliesoma nje na ndani ya nchi mkuu, sasa utofauti wake mimi siujui zaidi, halafu mkuu ukisema woote ni watoto wa mafisadi wanaosoma nje utakosea mkuu
  14. UKI

    Masikitiko yangu makubwa sana kutokana na mfumo wa uajiri wa bank ya NMB

    mkuu kwa kifupi tu makampuni haya husema waliosoma nje kidogo afadhali wana upeo mpana kuliko tuliosoma hapa nyumbani hilo la watoto wao sijalithibitisha maana hii summit ni mwaka wa kumi inafanyika na nina imani kuna wadau hata humu jf walipata ajira kupitia hiyo summit rafiki yangu ni...
  15. UKI

    Masikitiko yangu makubwa sana kutokana na mfumo wa uajiri wa bank ya NMB

    mkuu mtanionea bure aisee mimi nimeliongelea hili kwa uzoefu nilioupata kutoka kwa watu waliopata ajira kupitia huko nje ni kweli kabisa ukiangalia unaweza kusema kuna upendeleo ila haya makampuni huamini kuwa vijana waliosoma nje na wanaofanya kazi nje kidogo wana upeo kidogo kuliko wa nyumbani...
  16. UKI

    Masikitiko yangu makubwa sana kutokana na mfumo wa uajiri wa bank ya NMB

    ha ha ha mkuu mbona umenishambulia hivyo? duh kweli watu wana hasira na kazi usiwalaumu wao kuna kampuni ya GCC ndio huwa inafanya kazi hiyo sio Tanzania tu ni africa kwa ujumla wanafunzi waliosoma uk hupata nafasi hizo, na hiyo kampuni ilianzishwa kwa ajili ya kuwarudisha wasomi walioko europe...
  17. UKI

    Masikitiko yangu makubwa sana kutokana na mfumo wa uajiri wa bank ya NMB

    mkuu mleta mada sijui kama hilo lina ukweli na research yako ni kweli Kuna ajira NMB na hawa jamaa walienda UK kutafuta watanzania wanaoishi au waliosoma UK kwenye mkutano unaoitwa africa summit ulifanyika this may na huyo HR hakuwa anamfahamu hata mtu mmoja na walioenda karibia woote...
  18. UKI

    Launch of 4G a ‘major milestone’ for Tanzania

    Im using EE 4G kwenye iPhone 5 speed yake ni kasi ya ajabu ni ishara nzuri kwa bongo
  19. UKI

    Usalama wa taifa chunguzeni hili,

    mkuu hapo kwenye hapo kwenye red kwa uelewa wangu hakuna kitu kama hicho kwa waislam kama kuna shule ya kiislam na wanatumia neno seminary basi wamechukua mfumo ukristo bila wao kujua nini maana y hilo neno neno seminary linatumiwa na wakristo au wayahudi tu (jewish) kwa uelewa wangu kama...
Back
Top Bottom