Search results

  1. NHWANI

    Ole wako ufanye shopping

    Kurekebisha hali iliopata UHALALI kwa miongo 3,si kitu cha mchezo.
  2. NHWANI

    Vurugu za Umeya Dar: Polisi wazingira nyumba ya Halima Mdee kumkamata. Ajisalimisha!

    inatengenezwa hali kuonyesha UCHAGUZI umeshindikana ili ITEULIWE TUME ya kuongoza jiji.
  3. NHWANI

    Siri Nzito: TPA (Bandari) walivyowazidi kete Magufuli, Majaliwa

    Tuendelee wala tusiache KUWAOMBEA JPM na KM,lakini ile sheria kuwaweka watu kizuizini ilifutwa ?ndio wakati wake kwa hawa waliofanya TZ shamba la bibi.
  4. NHWANI

    Maneno YaMjini hayo..............................

    mjini ni watu na matukio sio Maghorofa ,Dar watu wa matukio ndio maana kunaitwa mjini....
  5. NHWANI

    Duh

    hii ndio tofauti ya miaka 200+ ya kujitawala na miaka 54 ya kujitawala.
  6. NHWANI

    Friends forever,Inasisimua mno!

    NDOHO SHIDA....HAMNA SHIDA...RAHA TU...
  7. NHWANI

    Marais 4 wakenya kwenye Picha ya pamoja kwenye miaka ya 70

    watawala WANAANDALIWA,uhuru alipendekezwa na Moi akashindwa,na baadae Kibaki aliemshinda alihakikisha na anachukua baada yake.
  8. NHWANI

    Mganga hajigangi

    Alishinikizwa, kila jema lilielekezwa Bagamoyo.
  9. NHWANI

    Kwanini kuna muda wa kuisha matumizi kwenye vitambulisho vya Taifa?

    SMART LIFE(cards) lazima ziwe na muda ili Uweze Kudhibitiwa....Tumeingizwa kwenye SMART LIFE ili tudhibitiwe....funguka...
  10. NHWANI

    Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

    DAWA YA HANGOVER KUACHA KILEO.
  11. NHWANI

    Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

    Unakinoa kisoda kinakuwa kama wembe mpaka Wenzio wanakataa kushinda na wewe kukata kamba,sababu unashinda tuu.
  12. NHWANI

    Kila kitu safi, tatizo hiyo t-shirt ya ndani haijaendana na suti

    ni RAISI wa watu anaishi kama WATU,WANGAPI WANA-MUDA YA KUPANGA MAVAZI?
  13. NHWANI

    Unakumbuka ilikuwa ni mwaka gani hiyo ya nauli ya UDA?

    1983 na za express ilikuwa 2/=
  14. NHWANI

    Mama na wanae, yupi mama?

    2
  15. NHWANI

    Mulungushi Club Founders

    MULUNGUSHI iko Zambia,na club hiyo ya Kaunda,Samora na Mwalimu iliundwa kuzungumzia ukombozi kusini mwa Afrika,nadhani ilikuwa ndio mwanzo Front states...
  16. NHWANI

    Mchungaji Marufuku Kukanyaga Chini

    kuongozwa na roho MTAKAVITU.....mchungaji anatafuta VITU(maslahi) na waamini wanatafuta VITU(uhitaji) atafutwi MUNGU hapo...
  17. NHWANI

    Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape

    HIVYO HIVYO Wa-KENYA MNAKENDA MAHALI......TZ maneno mengi tu.
Back
Top Bottom