Search results

  1. K

    Ukawa kuandamana nchi nzima

    Kwanza naomba kukiri kuwa mimi sio mwanasheria. Naomba kuuliza Je kufuatana sheria ya kuundwa kwa Bunge la Katiba , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana mamlaka ya Kusitisha Bunge la Katiba kwa sababu ye yote ile? Maana sioni shinikizo hili litafanikiwaje ikiwa hana madaraka hayo...
  2. K

    Naomba msaada wa jinsi ya kulipia kitabu ninachotaka kununua kutoka Amazon.com

    Kitabu kinaitwa History of the world in 6 glasses by Tom Standage. Natanguliza shukurani zangu.
  3. K

    Naomba msaada wa jinsi ya kulipia kitabu ninachotaka kununua kutoka Amazon.com

    Ninahitaji kununua kitabu kutoka Amazon.com lakini sijui utaratibu wa kulipia. Ninakihitaji hicho kitabu kwa haraka sana. Tafadhalini nisaidieni.
  4. K

    Kampuni ya usafirishaji wa mizigo

    Asante kwa majibu mazuri. Jee nini jawabu la hawa madereva ambao sio waaminifu? Mimi nimeingia kwenye hii biashara mpaka sasa nafikiria kuiacha. Wenzetu mnafanyaje na hawa madereva?
  5. K

    Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    Nakubali na kuheshimu haki ya kila Mtanzania kutoa maoni yake hata kama maoni hayo siyapendi. Lakini ni wajibu wa Watanzania ambao wana mawazo kufikiria vizuri kabla ya kutoa maoni yao. Hawa Watanzania wenzetu wa Mtwara ambao wameamua kuandamana kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar, kwenye...
  6. K

    Nataka kuanzisha training centre jamani mawazo plz

    Hongera sana kwa mawazo mazuri. Naomba wanajamvi tumsaidie kwa kumwelekeza afanye nini ili aweze anza hiyo Training Centre. Kwa mfano je, inabidi aiandikishe? Kama ni kuiandikisha, katika mamlaka ipi? Anahitaji kiasi gani kama mtaji wake ili aanze vizuri? Pole ila mwanzo mzuri. Asanteni.:smiling:
  7. K

    Inawezekanaje?

    Don"t be confused. Baadhi ya maelezo ni hayo uliyopewa hapo juu. Mimi naongezea haya. Unapaswa kujua kuwa kupata virusi vya ukimwi ni lazima hivyo virusi vipate njia ya kupita/kupenya. Ikiwa watu wawili wakijamiana mmoja HIV+ na mwingine HIV- na PASIPOTOKEA MCHUBUKO WOWOTE KWENYE SEHEMU ZA SIRI...
  8. K

    Nimepoteza kadi ya gari

    Kwanza pole. Fanya kama ifuatavyo: (a) Tafuta copy ya kadi ya gari yako ambayo umepoteza. (b) Nenda kituo cha Polisi waambie wewe umepoteza gari ya gari, watahitaji hiyo photocopy ili waridhike kuwa wewe ndio mwenye gari. Usijali kwa sasa hivi kama umekata kipande na kuweka kingine. Achana na...
  9. K

    Je Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi anaweza kushitakiwa yeye binafsi kuhusiana na Uwamuzi Bodi?

    Wanajamii ninaomba ufafanuzi wa kisheria kama inawezekana mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi anaweza kushitakiwa kutokana na uwamuzi halali wa bodi katika kikao halali cha Bodi.Tafadhali wanasheria naomba mchango.
  10. K

    Ushauri wa bure kwa BAKWATA na waislamu wenzangu wote kuhusu kususia SENSA

    Kwanza nafikiri hoja hii haina umuhimu kwa sababu hoja hii sio ya waislam. Waislam kama wanataka kujua idadi yao wafanye sensa yao. Hii ni ya serikali ambayo dini sio kigezo. Tunataka kujuwa idadi ya watanzania sio wakristo, wapagani au waislam.
  11. K

    Niwezeshe kutimiza ndoto yangu

    Juzi nilikuahidi kuwa nitakurushia cho chote ingawaje siioni message yangu. Hapana shaka ahadi ni deni, pokea mchango wangu. Elfu kumi tu.Asante.
  12. K

    Niwezeshe kutimiza ndoto yangu

    Nimeipenda. Nzuri sana hangaika dunia hii inahitaji juhudi binafsi. Nitachangia kesho mchana. John Kennedy wa USA aliwahi sema "Don't ask what the USA has done for you,but rather ask yourself what have you done for USA"
Back
Top Bottom