Je Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi anaweza kushitakiwa yeye binafsi kuhusiana na Uwamuzi Bodi?

Kitokota

Member
Jun 10, 2012
13
4
Wanajamii ninaomba ufafanuzi wa kisheria kama inawezekana mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi anaweza kushitakiwa kutokana na uwamuzi halali wa bodi katika kikao halali cha Bodi.Tafadhali wanasheria naomba mchango.
 
kimsingi haiwezekani kwa sababu yy sio bodi nzima bali ni mumbe wa bodi.akishtakiwa ni kwa niaba ya bodi
 
Back
Top Bottom