Search results

  1. M

    Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Habari ndugu zangu,tafadhali naomba msaada kwa mwenye ufahamu na tiba ya ugonjwa wa kusinyaa kwa ubongo,mzazi wangu alianza kwa kupoteza kumbukumbu baada ya kuugua presha na kisukari kwa muda kidogo Baada ya kufanya CT Scan mtaalamu alisema kwamba ubongo wake umesinyaa kidogo ndo umepelekea...
  2. M

    Series (Special thread)

    11.QUEEN OF THE SOUTH 12.STRIKE BACK
  3. M

    Modem ya halotel haionekani kwenye PC

    window 7,ram ni 2gb mkuu
  4. M

    Modem ya halotel haionekani kwenye PC

    Wadau naomba msaada modem ya halotel haionekani kabisa kwenye PC nikitaka kufanya installation. Naomba mwenye ufahamu wa hili.
  5. M

    TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

    Nashukuru wadau ngoja nijaribu@kcamp and shaffin
  6. M

    TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

    Naomba msaada wa jinsi ya kupata whatsapp app kwenye computer tafadhali kama ipo
  7. M

    Naweza kutumia windows kwenye hii Samsung laptop ya chrom ?

    Sawa mzee wa conspirancy,sio lazima window tu hata ubuntu kama inaweza kufanya kazi itasaidia,ndio inatumia chrome os
  8. M

    Naweza kutumia windows kwenye hii Samsung laptop ya chrom ?

    Habari wadau, nina samsung mini laptop inatumia OS ya android (chromeOS) nataka kuibadili iwe inatumia windows je inawezekanaje maana nimejaribu nimeshindwa.
  9. M

    Msaada firefox inachagua sites

    Ahsante dremchaser ipo poa sasa
  10. M

    Msaada firefox inachagua sites

    Thanks wakuu imekaa poa sasa@snipa
  11. M

    Msaada firefox inachagua sites

    Natumia firefox kwa laptop ila kila nikiweka gmail au yahoo haiconnect inatoa sms THIS CONNECTION IS UNTRUSTED nawezaje kufanya iwe trusted site coz zingine zinakubali,nimejaribu kuinstall latest version lakini bado
  12. M

    Interview Bonite Bottlers for Salesman/Saleslady

    Ni maswali ya kawaida sana na mepesi,fahamu mission na vision,mambo ya sales kidogo soma ulichoandika kwenye CV yako pia
  13. M

    Sababu ya wanaume kupenda makalio makubwa

    Nyumba ni choo,bila choo hakuna nyumba wakuu
  14. M

    Makabila yanayochukua mahari Kubwa Kutoka kwa mume

    Ukiwa na mabinti watano mtaji umeongezeka
  15. M

    Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    huyo mzee ni tapeli tu anajifanya kutafutia watu kazi kumbe hana chochote,ameshawaliza watu wengi tu eti anatafutia vijana uDC mara anajuana na rais mara mawaziri,hana lolote huyo,hapa anachoonge ni kama haoni nchi ilivyo kwa sasa
  16. M

    Kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nani atawajibika kwa madhara yaliyotokea?

    Waungwana hivi unavyofanya standardization kwa matokeo ya kidato cha nne ya 2012 ni kwamba tatizo la msingi halijajulikana? Mimi naona kuna mengi ya kuangalia kabla hatujakimbilia huko 1.Mitaala yetu inajulikana? 2.Walimu wanaofundisha wanakidhi vigezo na viwango vya kuwa waalimu? 3.Walimu...
Back
Top Bottom