Search results

  1. A

    IGP afunga njia Ubungo-Kimara

    Kuna foleni kubwa sana muda huu maeneo kuanzia Korogwe hadi Kimara. Askari wamezuia magari yanayotoka mjini kisa IGP yuko njiani kutoka Morogoro. Sasa jamani naomba maoni yenu maana gharama inayopotelea barabarani kwa ajili ya kutaka ukubwa imezidi. Wanajamvi kazi kwenu
  2. A

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Ndugu Zyamwelele, mimi kwa kweli nimefurahia sana ulivyosema. Umeamua kuwa objective na hiyo pekee ndio itakayotuondoa hapa tulipo. Kwa ujumla nawashangaa hawa wanaosema tunasemwa vibaya. La hasha, hatujasemwa vibaya ila tumeambiwa ukweli. Tatizo ni kwamba ukweli waliosema ni madudu...
  3. A

    Betraim Mwombeki wa Simba SC kwa nini hayupo Timu ya Taifa?

    Pilau, sbir kwanzaMwmbeki awe tishio ka mabeki wa timu za Tanzania ndio aweze kupata nafasi ya kwenda kujaribu kuwa tishio kwa mabeki wa timu za mataifa mengine
  4. A

    EAC citizens left out of integration process—says research

    Abunwasi, mawazo yaliuo katika email yako yalishatolewa siku nyingi, ila sina hakika kama yalicukuliwa na wahusika. Fuatilia link hii ambayo ni chapisho la mwaka 2008 http://www.afrobarometer.org/files/documents/briefing_papers/AfrobriefNo54.pdf
  5. A

    Mbuga ya MIKUMI

    Ndugu yangu Wolfpack nina wasiwasi na majiobu yako. Naona kama umeifanya issue ya kuchoma kuwa rahisi sana na kwamba ardhi inatayarishwa kwa ajili ya nyasi mpya. Tatizo langu ni kwamba, kwa nini sasa mbuga zote zisifanyiwe hivyo?
  6. A

    TANZIA Askofu Mstaafu wa Jimbo la Njombe, Raymond Mwanyika afariki dunia

    Setuba Noel, unapaswa tu kuuliza kwamba huu utamaduni umetoka wapi na kama unaweza kubadilishwa. Ukisema kwamba endapo huu utaratibu ukiendelea kwa miongo kadhaa makanisa yatageuka kuwa makaburi, unaonesha ulivyo na ufinyu wa kufikiria. Kumbuka kanisa katoliki lina umri wa miaka zaidi ya 2000...
  7. A

    TANZIA Askofu Mstaafu wa Jimbo la Njombe, Raymond Mwanyika afariki dunia

    Donge, aliyetoa mada yuko sahihi kitakwimu. Kumbuka kwamba baada ya kustaafu, anaendelea kuwa na hadhi ya Uaskofu kamaAskofu mstaafu. Akiombwa na askofu aliye madarakani, anaweza hata kutoa daraja ya upadre (mwaka jana Askofu Mstaafu Mathias Isuja wa Dodoma alitoa daraja ya Upadre kule...
  8. A

    Mh mbowe vipi mbona kimya sana kuna tatizo gani

    Mkuu chief_mtemi, kwanza ungeanzia na ahadi za nyuma tulizopewa na viongozi wakubwa kama vile,"majina ya wauza unga, majina ya mafisadi" n.k ndio uulizie hili la Mbowe ambalo ni la juzi tu na halina hata uzito kama hayo ya nyuma
  9. A

    Star TV mtandaoni haina sauti

    Kwanza tunashukuru Star RV kwa kuwa TV pekee Tanzania inayotuhabarisha habari mbalimbali za Tanzania sisi tulio Ughaibuni, hongereni sana kutujali tusio nyumbani. Pili, ni kwamba kwa siku kama tatu hadi nne hivi imekuwa inatoa picha tu lakini sauti haisikiki. Tunaomba fundi mitambo aliangalie...
  10. A

    Kuliko kupewa adhabu hii ni bora upigwe

    Wapoti, ni vizuri kujua kama huo mwezi ambao jamaa amekuwa haulizi kitu na kuendelea kuishi kwa kucheka na kuleta zawadi, je tendo la ndoa wameshiriki? Tukijua hilo, tunaweza kujaribu kumshauri huyo dada la kufanya
  11. A

    Samsung galaxy tab 2 inauzwa

    Unaweza kututajia bei ili tuweze kujua kama tukutafute au la!
  12. A

    Star TV mtandaoni haina sauti

    Waheshimiwa wataalamu wa Star TV, nashukuru sana maana kwa sasa nawapata kwa uzuuri kabisa hapa Dublin Ireland. Mko juu na mnatusaidia sana kupata taarifa za nyumbani. Once again thank you very much
  13. A

    Star TV mtandaoni haina sauti

    Ndugu wanajamvi, naomba mnisaidie kama kuna mtu yeyote anayejua kwa nini Star TV mtandaoni imekuwa haina sauti. Kwa muda mrefu ilikuwa haipatikani kabisa. Sasa inapatikana ila sauti haisikiki kabisa. Hii ndio TV pekee tunayoitegemea watanzania tulio ughaibuni angalau kupata taarifa za habari na...
  14. A

    Radio Maria haipatikani mtandaoni, kuna tatizo

    Ndugu Lokissa, nashukuru sana kwa msaada wako wenye nia njema. Napenda kukujulisha kuwa kwa kupitia maelezo yako, sasa Napata radio maria muruwa kabisa. Once again thank you very much
  15. A

    Radio Maria haipatikani mtandaoni, kuna tatizo

    Isotope, nimekuwa naichangia sana nyumbani. Ila kwa miezi miwili sasa niko nje ya nchi sijaweza kuichangia. Nilituma msg kupitia mtandao wa facebook ila pia hawajajibu. Nahisi wanasoma na kutoa majibu redioni ila kwa kuwa sisikii siwezi jua kama wamejibu. Wangekuwa wanajibu nao kupitia mtandao...
  16. A

    Radio Maria haipatikani mtandaoni, kuna tatizo

    Wana jamvi, tangu juzi usiku radio maria haipatikani mtandaoni. Sisi tulio nje ya nchi tulikuwa tunaitegemea kupata angalau taarifa za nyumbani. Kuna mtu yeyote anayejua ina tatizo gani na ni lini tutaweza kuisikia tena
  17. A

    Si busara kutumia imani ya watu wengine katika kuhubiri imani yako

    Wanajamvyi, mimi nakerwa sana na baadhi ya wahubiri wanaotumia imani nyingine kuhubiri imani zao. Kwa mfano sio busara muislamu kutumia biblia kuhubiri uislamu wake maana inawezekana kabisa uelewa wake katika biblia ni mdogo na hivyo akapotosha waumini wake. Hali kadhalika, si busara mkristu...
  18. A

    Dawa ya kuondoa msongamano Dar...

    MKATA KIU unayosema ni sahihi ila yanastahili investment nyingine ambayo serikali inatakiwa kuwekeza. Ili kuwawekea watu wenye magari mazingira magumu ya kuingia mjini na magari, unapaswa uhakikishe kwamba usafiri wa public una hadhi ya kumfanya mtu avae suti yake na kuutumia. Sasa sina uhakika...
  19. A

    Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

    Kwa ujumla nakubaliana na wewe kabisa. Wasimchukulie hatua huyu bwana ila wamuwezeshe. Badala ya kumchukulia hatua ni vizuri wao ndio wakajitathmini kwamba wamechemka wapi mpaka mtu akajiamini kuvaa magwanda na kufanya kazi ya kipolisi bila wasiwasi. Mimi nafundisha chuo kikuu, kama anaweza...
  20. A

    Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

    Hata mimi nimeipenda sana hii. Nasikia huyu bwana amevuta hela nzuri tu kwa njia hii na ana jumba la kifahari. Ni mbunifu mzuri na anajua ku-take advantage ya system ambayo sio organized. Hili ni funzo kwa taasisi zetu kujipanga au kwa lugha nyingine kuwa organized
Back
Top Bottom