Search results

  1. chokamb

    glur

    habari wanajamii ninatafuta gundi inayoitwa JB WELD glue mnaweza kujua kwa hapa bongo nitazipata wapi? pls help
  2. chokamb

    modem

    nahitaji kujua wapi nitapata modem za TTCL mpya
  3. chokamb

    modem

    nitazipata wapi modem za ttcl mpya.
  4. chokamb

    pulser

    natafuta pular 200sn
  5. chokamb

    pulser 200NS

    nitapata wapi Pulsar 200NS hapa dar es salaam?
  6. chokamb

    wii

    nauza wii complete set pamoja na games zake
  7. chokamb

    gym

    natafuta vifaa vya gym used kama kuna mtu anayo.
  8. chokamb

    wii

    salaam ndugu wanajamii ninauza wii ipo complete st kwenye box pamoja na games zake kwa sh 350,000 tu my email ni ebrahimimtiaz@gmail.com
  9. chokamb

    msaada

    salaam wanajamii wenzangu ninatafuta vifaa vya gym used kama kuna mtu anaziuza kwa bei poa.
  10. chokamb

    ask

    salaam ndugu zangu wanajamii ninatafuta brand new honda bikes from japan nitaweza kuzi pata wapi?
  11. chokamb

    wii game

    salaam wanajamii wote,ninauza wii ipo copmlete na vifaa vyake vyote kwenye box yake kamili pamoja na 3 games zake.(ebrahimimtiaz@gmail.com) this is my email
  12. chokamb

    Androide kitkat

    Salaam kwa wanajamii wote,ninawaombeni msaada kwenu,kama kuna mtu anajua jinsi ya kuweka Android KITKAT kwenye samsung s3.
  13. chokamb

    s3

    habari wanajamii ninahitaji Samsung s3 complete na bajet yangu ni sh450,000.
  14. chokamb

    samsung s3

    nahitaji samsung galaxy s3 kwa mtu yeyote aliyekuwa nayo na iwe kwa bei nafuu kabisa.(used)
  15. chokamb

    psp

    habari vipi ndugu zangu wa jamii fm ninawaombeni msaada wa kunijulisha memory card za psp nitazipata wapi?kwa hapa dar.kwenye momory imeandikwa (MEMORY STICK PRO DUO)
  16. chokamb

    memory card

    where can i find psp memory card? please help me
  17. chokamb

    samsung galaxy s4 best price ever

    kuna samsung galaxy s4 inauzwa kwa bei ya 670$ tu brand new with box na vifaa vyake vyote complete set toka dubai with one year warranty withit.contact me by my email chokamb@hotmail.com or ebrahimimtiaz@gmail.com
  18. chokamb

    samsung note2

    kuna samsung galaxy note 2 brand new kwenye box yake ina vifaa vyake vyote.kwa bei ya 550$ kama kuna mtu anahitaji contact with me my email ni chokamb@hotmail.com or ebrahimimtiaz@gmail.com maelewano yapo
  19. chokamb

    msaada wa psp

    ndugu zangu wa jmf ninawaombeni kama kuna mtu anajua nitapata wapi cable za psp(AVcable),maana mi nimejaribu sana kuitafuta.pls help.me
  20. chokamb

    av cable ya psp?

    ndugu zangu wa jmf ninawaombeni msaada mmoja,ivi Av cable ya psp nitazipata wapi?
Back
Top Bottom