Search results

  1. M

    Msaada: Lodge gani ya bei poa Morogoro mjini??

    Mkuu, nenda Sofia Hotel. Ipo mjini kabisa na bei poa. Ipo pembeni ya Abood Bus.
  2. M

    Mchango wa harambee kusafirisha wanavyuo kwenda kupiga kura

    Mshiiri ni moyo mzuri ulionao lakini, I`m sorry hii tabia ya kuomba omba kwa kila jambo ndo imetufikisha hapa tulipo. Kama mtu unataka kupig kura, unajali kura yako, lazima uone umuhimu wa kupiga kura na inabidi ufanye kila uwezalo ili uweze kupiga kura Oct 31. Kwa hiyo basi, kama upo tayari...
  3. M

    Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    Hivi watu wengine huwa mna akili zenu au mmeshavuta vya kuvuta. Yaani wewe kwa akili yako mtoto wa Rais ana nguvu/heshima ama hadhi yoyote kama kiongozi wa serikali ama vinginevyo? Yaani watu wengine kama hamna vya kuongea embu chukua pipi umng'unye uwaache watu wenye hoja waandike mambo ya...
  4. M

    iPhone 3G

    Kaka, I could be wrong but as of May 2010, hakuna mtu aliyekuwa ameweza ku- unlock Iphone 3gs duniani, I'm talking about nipo US na niliwahi kwenda kwa wahindi ambao ndio business yao. I phone zinazoweza kufunguliwa ni 1stGen na 3G pekee. Vile vile, ku jailbreak ni tofauti na Ku...
  5. M

    Helpless:...My Dad's Gone!

    Pole Sana, mungu akupe nguvu na Imani katika kipindi hiki kigumu.
  6. M

    Rasta Mpoto abambwa akila nyama mchana kweupee

    Kala nyama, so what....guys find some more important things to bring to the jamvi.....
  7. M

    'Dr' Aisha Kigoda

    Ndugu zangu, hatuwezi hata siku moja kumwita mtu daktari espacially in healthcare field wakati hujakwenda shule kusomea hiyo taaluma ukaitwa daktari. Nakubaliana na Dr Slaa kwamba wapo ma AMO wengi wazuri tu ambao wameachiwa zahanati na wanaziendesha vizuri tu because of lack of qualified...
  8. M

    Nyumba za Mawaziri - nani amehamia kule?

    Hivi viongozi wetu wamerogwa, inakuwaje kila administration inakuja eti wanajenga nyumba mpya za mawazi, mara makatibu wakuu, mara magavana nao wanajijengea nyumba mpya. Jamani, si tumepata uhuru toka 1961, sasa wakati wote huo hao mawaziri, sijui makatibu wakuu walikuwa wanakaa wapi?. Hivi...
  9. M

    Kama hii ni ya kweli tumekwisha

    Uneducated people ambao ni wavivu wa kufikiri ndio wanaweza kuamini habari ya kuunganishwa unganishwa kama hii, eti " hiyo russian fleet" ime prepare report hii in what 2-3 days after the earthquake,come on, eti kwa ajili ya kutarget wa Iran, what a bunch of rubbish. Watanzania tuwe tunafikiri...
  10. M

    Tanzania should send a 50 strong team to Haiti

    Mwanakijiji, I hear you. BUT, hivi majanga mangapi ya kuzuilika yametokea hapa lakini viongozi wetu wanaishia kusema ni "kazi ya mungu"?, mkulu imemchukua wiki ngapi kwenda kuwatakia hali wahanga wa mafuriko kilosa? The list goes on and on. Lakini ukiangalia the common denomenator ya matukio...
  11. M

    Israeli's Bid To Buy Al-Jazeera From Qatar

    Here are the facts, Al Jazeera ni business, business inayostruggle financially, Huyo M-jew amekuja na offer ya $5 Billion, you go figure. Also most importantly, wana negotiate at the moment. Whenever ukisikia watu wana negotiate a business deal that means if it makes financial sense then it...
  12. M

    House for sale at osterbay dar es salaam, tanzania.

    Are you out of your freaking mind? $2.6M, seriously! Wabongo bwana, just throwing figures out there....
  13. M

    Nini iwe hatma ya Wapiganaji walio CCM, Warudishe kadi au?

    Mzee FMES, -Kwanza heshima mbele, hongera, pole na Akshante kwa kutuletea habari moto moto kutoka jikoni ndani ya NEC. -Kwanza kabisa, Nadhani its a good idea kwa wapiganaji ndani ya CCM kuanza kufikiria exit strategy na jinsi watakavyoendeleza kupigania haki za wanyonge post CCM. At the...
  14. M

    Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

    Katika kuendeleza what Mkjj ameanzisha, here is the latest kuhusu huyu "arms dealear" ambaye amekamatwa huko Thailand. Thai Court itamwachilia kurudi kwao unless something major happens. BANGKOK – A Thai court Tuesday rejected a U.S. request to extradite an alleged Russian arms...
  15. M

    Hasheem Thabeet: The Tanzanian Phenom

    MEMPHIS, Tenn. (AP)—First-round draft pick Hasheem Thabeet(notes) has signed with the Memphis Grizzlies. The 7-foot-3 center from Connecticut was the second pick in the draft. Thabeet is due to make about $7.7 million over two years under the rookie salary scale. Thabeet is the first...
  16. M

    Nafasi za kazi mwezi wa 11

    Black Jesus please keep the hatred to yourself, as far I'm concerned Shy is doing exactly what this board is all about "VACANCIES". Shy keep up the good work.
Back
Top Bottom