Search results

  1. Zambavuni

    Upinzani acha kutuwekea usiku

    Kubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo. Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi. Msionyeshe uwepo wenu...
  2. Zambavuni

    Bunge la bujeti linaisha lini?

    Salaam wana JF. Tafadhali sana anayejua bunge la bajeti linaisha lini. Na likiisha PAC huwa wanabaki dodoma kwa muda au wanarudi majimboni kwao moja kwa moja.
  3. Zambavuni

    Muda muafaka wa kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua kwa opareshini.

    Salaam kwa wana JF. Hivi mwanamke akijifungua kwa operasheni anatakiwa aanze kukutana na mwenza baada ya muda gani ( yaani kufanya tendo la ndoa) bila kupata matatizo?
  4. Zambavuni

    Madhara gani yaweza kumpata mwanaume kwa kutofanya tendo la ndoa?

    JF Doctors Ninataka nijue kama kuna madhara ambayo mwanaume anaweza kupata kutoshiriki tendo la ndoa wakati alikuwa amezoea kufanya hivyo kwa mara kwa mara na mke wake. Hii inatokea wakati mwanamke amepata ujauzito na mara complication zinaanza na anapewa bedrest na kushauriwa asishiriki na...
  5. Zambavuni

    Nipe maneno ya mshenga siku ya kwanza

    Wana JF, ninawasalimu wote. Nina rafiki yangu anayetaka niwe mshenga wake wa kihaya. Mimi umri wangu wa ki-dot com. na nimekulia mjini. ninapungikiwa maneno hasa yale wanayoyatumia siku hiyo ya kujitambulisha. Kama kuna Mhaya anayeyajua tafadhali anielimishe. Samahani sitangazi ukabila ila mila...
  6. Zambavuni

    Nini hatima ya mzee Kingunge ndani ya CCM?

    Salaam wana JF, Huyu babu alijionesha wazi kabisa kuwa yeye ni kati ya Lowasa team member kwa kujaribu hata kuipotosha jamii kuwa kuna uwezekano mkubwa wa NEC kukataa wateule wa Kamati Kuu 5 na kutaka wengine wapya. Nina wasiwasi kwamba huu ndio unaweza ukawa mwisho wake wa kuonekana katika...
  7. Zambavuni

    Kheri Asha Migiro hujaiaibisha UN

    Pongezi sana Dr. Asha Rose Migiro kwa hatua hiyo uliyofikia, hata kama utaishia hapo, umeitoa kimasomaso UN. Siyo kama mwenzako Prof. Anna Tibaijuka aliyejitosa kwenye Ufisadi na kuumbuka. Sasa Prof, anasubiliwa jimboni kwake anyolewe nywele kwa kipande cha chupa. Huko maji kwake ni marefu hata...
  8. Zambavuni

    Ninatoa particles ngumu zenye harufu mbaya sana kooni

    Ndugu zangu wana JF. Nina tatizo kutoka vipande vyenye rangi ya cream kama makohozi yaliyoganda sana kwenye koo. Vinakuwa na ukubwa wa mahare madogo au kunde. Vinatoka kama mara moja baada ya miezi miwili hadi mitatu hivi. Ni kivibonyeza vinabonyea na vina harufu mbaya sana. mara nyingi vinatoka...
  9. Zambavuni

    CCM siyo CHANGUDOA!

    CCM ni chama cha siasa chenye heshima kubwa nchini, Afrika na dunia nzima. Kina historia nzuri na sifa kemi kemi na waasisi wake wametukuka. Na kwa sasa ndicho chama cha kuweza kuiongoza nchi na kuwaletea maendeleo wananchi wake achana na matatizo ya hapa na pale yanayojitokeza. Nikikilinganisha...
  10. Zambavuni

    Nini sababu ya kusinzia sinzia mara kwa mara?

    Habari ya majukumu wana JF? Nina mfanyakazi mwenzangu wa kike tunafanya kazi ofisi moja. Mwanamke huyo ana tatizo la kusinzia mara kwa mara. Iwe ni asubuhi mara tu baada ya kufika kazini, iwe ni mchana hata jioni. Nimejitahidi kumsaidia bila mafanikio. Kama kuna mtu ana uzoefu wa jambo hili...
  11. Zambavuni

    Mke wa rafiki yangu anasumbuliwa na mumu wa mtu

    Hello wana JF. Nina rafiki yangu mmoja ambaye kwa sasa yuko nchi ya jirani anasoma. Amemuacha nyumbani mke wake na watoto wao watatu. Mke wake ni mama wa nyumbani na anashughuli zake za kujiongezea kipato. Ni familia yenye upendo na wote mme na mke wanapendana sana. Tatizo kwa sasa ni jirani yao...
  12. Zambavuni

    Matatizo ya wakulima wa miwa Mtibwa

    Hello wana JF! Hivi matatizo ya wakulima wa miwa huko mtibwa mbona huwa ni kitendawili kisichoteguka? Akienda Mkuu wa nchi hana majibu, mkuu wa mkoa, yale yale, mawaziri hamna kitu. Huko kulikoni? Nasikia Muwekezaji halipi kwa wakati, pesa anawapa kidogo mpaka wanashindwa kuendeleza zao hilo...
Back
Top Bottom