Madhara gani yaweza kumpata mwanaume kwa kutofanya tendo la ndoa?

Zambavuni

Senior Member
May 24, 2012
118
26
JF Doctors

Ninataka nijue kama kuna madhara ambayo mwanaume anaweza kupata kutoshiriki tendo la ndoa wakati alikuwa amezoea kufanya hivyo kwa mara kwa mara na mke wake. Hii inatokea wakati mwanamke amepata ujauzito na mara complication zinaanza na anapewa bedrest na kushauriwa asishiriki na mume wake tendo la ndoa mpaka atakapojifungua.

Je, kuna madhara yoyote ambayo mwanaume aweza kupata na ni jinsi gani ya kuyakwepa?
 
Dah.
Swali gumu hili. Hakuna madhara kama utaendelea kuwa karibu na mkeo kwa maana ya kumhudumia na kumdekeza. Ukichepuka utanasia, ndio madhara makubwa zaidi utakayopata.
 
Dah.
Swali gumu hili. Hakuna madhara kama utaendelea kuwa karibu na mkeo kwa maana ya kumhudumia na kumdekeza. Ukichepuka utanasia, ndio madhara makubwa zaidi utakayopata.
Hakuna uwezekano wa kuziba mifereji? au matatizo ya prostate? Hasa kama matatizo yataanza mapema kwenye miezi 2-3 hivi?
 
Hakuna madhara zaidi ya kudindisha mara kwa mara na kutamani hovyo wanawake hasa Wenye makalio makubwa. Na hali hii huanza baada ya miezi mitatu kuendelea
 
Hakuna madhara bwana. Haya masuali uwe unaenda na mkeo clinic halafu muwe mnamuuliza mkunga. Atawaelewesha vizuri zaidi
Hakuna uwezekano wa kuziba mifereji? au matatizo ya prostate? Hasa kama matatizo yataanza mapema kwenye miezi 2-3 hivi?
 
JF Doctors

Ninataka nijue kama kuna madhara ambayo mwanaume anaweza kupata kutoshiriki tendo la ndoa wakati alikuwa amezoea kufanya hivyo kwa mara kwa mara na mke wake. Hii inatokea wakati mwanamke amepata ujauzito na mara complication zinaanza na anapewa bedrest na kushauriwa asishiriki na mume wake tendo la ndoa mpaka atakapojifungua.

Je, kuna madhara yoyote ambayo mwanaume aweza kupata na ni jinsi gani ya kuyakwepa?
Kufanya mapenzi na mkeo wakati ana mimba inaruhusiwa ni wanawake tu ndo wanaowabaniaga .....muwe mnaenda kwenye cliniki za RCH na wake zenu ili muwe mnapewa taarifa muhimu...mkeo akia mbiwa apewe bed rest na dokta mwamche ....Fanya shughuli msaidie ...kazi ngumu kubeba mimba miezi 9 sio kazi rahisi

Kuhusu kufanya mapenzi braza we kaza tu maana haina jinsi....mwenzio kabeba mzigo wako.......kaza konde...... Kuhusu madhara hamna madhara yoyote Yale ......ispokuwa kama mwanaume ni nyphmomania...... Away hawawezi kushinda siku bila kufanya mapenzi kwa hao watafute kazi nziti za kuchosha......zaidi ya hapo hakuna sababu kuchepuka sio fresh wakati mwanzio kabeba mimba.....
So kama Shem ana ujauzito piga kazi extra shift jiandae kulea....
 
Back
Top Bottom