Search results

  1. Nivea

    Iko wapi ramani ya mpango mji ya Mji wa Kigamboni?

    Habarini Wajanamvi Mimi ni mkazi wa Kigamboni kwa muda sasa nina 20 yrs katika wilaya hiyo. Kuna maswali mengi ambyo nimeshindwa kuyajibu kichwani kwangu. Ninaomba mwenye uelewa au kufikisha hili jambo kwa Waziri wa Ardhi. Si kawaida ya serikali kuona karibu namna ile kwenye ule mji.. Nahisi...
  2. Nivea

    Angalizo,Uzoefu wangu kuhusu biashaza za mtandaoni (wanaita online busines)

    Habarini wanajamvi.. Wakongwe na wageni japo hakuna atakaye kuitwa mgeni Ninaomba tupeane uzoefu kwenye hii biashara ambayo watanzania wengi wanaifanya kunadi biashara zao na kuuza kwenye hasa Kule instagram* Facebook nk . ninaimani kubwa sana ulishapitia kununua chochote kile kupitia hasa...
  3. Nivea

    TANESCO mmeanza tena kukata Kodi za EWURA na REA?

    Habari wana jamii wenzangu. Hii naandika kwa masikitiko makubwa nilikuwa sijagundua hilii. Mnamo tarehe 21/08/2017 nilinunua umeme Bila hizo EWURA & REA sasa kuanzia umeme nilionunua tr 26/08/2017 mpaka leo wamerudisha hizo kodi kinyemela na mpaka leo asubuhi nimenunua umeme wanaendelea kukata...
  4. Nivea

    Naomba kujuzwa kuhusu hawa kuku wa Amadol

    Habari wanajamvi, Nimepotea sana ila tupo pamoja. Naomba mnijuze kuhusu wale kuku wanonoo wakubwaa nawaona mtaani,anaweza kuwa na kg 6 au 7,kubwaa,nikauliza wakasema wanaitwa Amadol.(Hili jina sijui ndio lenyewe?au nimekosea ) 1.Nijuzeni ni kuku wa breed gani 2.Nawezaje kuwafuga hawa naona...
  5. Nivea

    TCRA Mmelala wapi fuatilieni ukwepaji huu wa kodi.

    Salaam wana jamiii. Ninakerwa na hii tabia ya mitandao ya simu kukwepa kodi kwa hizi International calls. Niko tayari kwa ushahidi nitakapohitajika. Nina mtu anayeishi Bara Asia kila akinipigia simu huwa zinakuwa zinabadilishwa kama local calls za hapa ndani. Na hii imedumu kwa muda...
  6. Nivea

    Aibu! Kibada Primary School, shule iliyopo 12KM kutoka Ikulu haina madawati, wanafunzi wanakaa chini

    Leo asubuhi katika harakati zangu za kwenda kuhakiki jina langu kwaajili yakupiga kuranimejionea maajabu , nikasikitika sana, kweli hii shule iko Kigamboni, wilaya ya Temeke ni shule iliyopo barabarani kabisa, karibu kabisa na serikali ya mtaa. Nimesikitika kwakweli, 12km, je shule zilizopo...
  7. Nivea

    Fremu kwenye Jengo la YWCA pale Posta Mpya-

    HABARI ZA SIKU NYINGI WANAJUKWAA HERI YA MWAKA MPYA Kuna Fremu Nzuri huwa naziona pale kwenye lile jengola YMCA na muda mrefu zimefungwa hivi zinamilikiwa na nani na hivi unaweza pata zile fremu kweli??? Huwa nazitamani sana zile, wale wahudumu pale ukiwauliza utadhani unafaidi hawakupi jibu...
  8. Nivea

    Bye bye Vodacom nimewachoka kabisa

    Sitaki kusema sana ila ngoja nijaribu mitandao mingine.Nakereka maana voda tarrifs ziko juu saana kuliko mitandao mingine,wamekuwa wakiniibia sana hata nikinunua muda wa maongezi wananikata hela kweli jamani au ni mimi tu !!! Mfano.unamtumia mtu 60,000/=unakatwa 600 haitoshi huyo anayekwenda...
  9. Nivea

    SUMATRA: Kwa hili la Kivukoni-Mnazi mmoja magari makubwa na mapya acheni kutuibia wananchi waziwazi

    Habari za weekend !! Huwa nikifikiri sana kuhusu Mashirika ya umma ya serikali huwa naumia sana maana hakuna iliyopo kwa kuujali umma wa watanzania ni kuwasaidia wenye hela watuibie tu sisi wa hali ya chini. Nirudi nyuma kidogo kabla ya huu ujenzi wa barabara za magari ya kasi tulikuwa na...
  10. Nivea

    Karibia 50% ya wakazi wa Dar es salaam wanaishi maisha yakubahatisha na kulazimisha sana

    Nawasalimu wote mtakaopiga jicho kwenye mada hii. Huu ni ukweli mchungu sana ,kwa wakazi na wenyeji wa mji huu wa Dar es salaam wanaishi maisha yakubahatisha hawaijui kesho yao ila wanautaka tu ujiko wakuonekana wanaishi mjini,mtu analazimisha maisha, wanapata mshahara nyumba wanayoishi ni...
  11. Nivea

    ICB Bank: Bank inayohamishia uchumi wetu India

    Leo katika gumzo na wahindi fulani kila mmja alinionyesha kadi ya bank ya ICB nikahoji kwanini wengi wenu mnatumia bank hiyo? Wakasema ni bank pekee inayoruhusu kuhamishia hela zao huko kwao India. Mimi sio mtaalamu wa hayo mabenk na fedha na uchumi lakini naona ina hatari au athari labda kwa...
  12. Nivea

    Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam, fuatilieni kituo kidogo cha polisi Kibada

    Habari zenu wakuu, Najua kwamba kazi ya Polisi ni kulinda nchi na raia wake ila naiomba Wizara ya Mambo ya Ndani; Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam mfuatilie kwa karibu hawa Polisi wa Kigamboni, Kibada wana mtandao mkubwa wa wizi ambao unatutesa sana raia wa eneo hili watu hawalali ni tabu...
  13. Nivea

    Kwangu haivumiliki kwako ni sawa au ni hali ya kawaida tu jamani?

    Nawasalimu sana wana MMU Ni siku nyingi kidogo sijapost hapa jukwaani ila ni sababu za kiusalama zaidi nimekutana na hili suala naninataka ushauri wenu maana mimi sio mshauri mzuri wa masual ya ndoa .ili nipate kumjibu mdogo wangu huyu. 1.Mwanaume umeoa tena ndoa takatifu hapo mwanzo...
  14. Nivea

    Eti mwamamke haachwi anapunguziwa tu mawasiliano

    Naomba tu muje muniambie ,maana nilishawahi nikuta hili unamuuliza mtu wewe kwnini bado unawasiliana na huyu mwanamke akati ulishasema umeachana naye miaka mingi anakwambia ''mwanamke haachwi anapunguziwa mawasiliano '' hivi kweli enyi wananume wote mna hii ideology au kwamba kama ulikuwa na...
  15. Nivea

    Familia uliozaliwa!familia uliyooa! ubabe!huweza ua/ ngarisha ndoto ya mafanikio yako

    Najua kuna watakao nipinga lakini kuna wahanga kama mimi watakubaliana na mimi na wengine watasema roho mbaya hapa nazungumza kwa uhalisia kabisa maana najihisi nimepigishwa step 100 nyuma kuwa; ((Natumia simu mnisamehe sana)) 1.Unaweza kuwa na mafanikio au umejitahidi sana umefika nusu ya...
  16. Nivea

    Pgd & mstrs of legal and industial metrology

    Kuna ndugu yangu alisoma undergraduate hapo cbe na anahitaji kujiendeleza ana vigezo ila ,hapa tz kuna chuo kimoja tu ambacho kinatoa hii course ni cbe.ila hawa wamekuwa wakila hela za watu kwa 3yrs now wanaitangaza hii course ila hawa inroll watu kila akiaply pgd hapo husema hatujatenga hela...
  17. Nivea

    Natafuta mwalimu wakufundisha watoto wangu tuition-kigamboni

    Nina shida ya mwalimu mzuri wakuwafundisha watoto wangu tuition wa darasa la kwanza na la pili nitamlipa vbizuri tu ,niko maeneo ya kibada-kigamboni .kama nitapata wa maeneo haya haya nitafurahi sana awe anakuja anawafundisha anaondoka,nineshanunua vitabu vyote vya level zao. Nitashukuru kama...
  18. Nivea

    Wanawake Pasua Kichwa usiombe ukutane nao dunia inakuwa chungu!

    Rejea mada hii hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412113-alidhamiria-kunichoma-kisu-kama-sikukwepa-leo-hii-mimi-ni-ningekuwa-marehemu.html Naendelea kumzungumzia huyu mtu bwana . Huyu ndugu aliendelea kukaa na mwanamke huyu huyu aliyekuwa mkorofi sana na wakutisha...
  19. Nivea

    Kupatwa kwa mwezi angalieni angani sasa hivi 1930hrs

    Lunar eclipse jamani hiyo angalieni utaona jinsi inavyokuwa sayari inayoonekana imenyookeana kabisa na mwezi ni venus angalia kwa makini utaona kivuli cha dunia kwenye mwezi.
  20. Nivea

    maskini sosoliso !!!!!tulikuonya kuhusu paloma

    @sosoliso Tumrjaribu kukuonya sana husikii Paloma atakufikisha huku achana naye !!! na hii inawahusu Filipo na vivian Arushaone na Lady doctor Erickb52 na Chocs inasermekana mwisho wao ni huhuuu
Back
Top Bottom