Search results

  1. M

    Umegundua nini kwenye picha hii ya mwenge?

    me naona tu moto unawaka bac. au mnataka tena kutuambia ni alama ya freemason?? maana hamchelewi. cku hizi hata ndizi ni alama ya freemason.
  2. M

    Anne Kilango awavaa CHADEMA...

    Hao watu wa mtere wote wana matusi. Lusinde aliacha historia kule Arusha Arumeru. Huyu naye walewale. Matusi ya baharini. Wewe unasema mtera wanamuhitaji. nani ampe hata huko mtera? zile cd za lusinde zimemwagwa mle na hawataki kusikia mtu anayeitwa CCM. sasa mtu kama anatukana hata humu jf...
  3. M

    Anne Kilango awavaa CHADEMA...

    hiyo blog anayodai kafungua ina nini kipya zaidi ya kupost mambo za mademu?? umri na vitu anavyovifanya ni tofauti!!
  4. M

    Inawezekanaje wanafunzi 5,000 waliofaulu wasijue kusoma, kuandika?

    Mwanafunzi anafaulu darasa la saba kuingia sekondari lakini hajui kusoma wala kuandika. Wizara ya elimu inalichukuliaje hili suala? Tuendelee kuwaamini wasahihishaji mitihani? Baraza la mitihani linahusika hapa pia.
  5. M

    Oparetion ya vua gamba vaa gwanda yaitikisa wilaya mbozi

    Na bado. Huo ni upepo. wasubiri kimbunga. si wanadai ni upepo?? baada ya upepo ni kimbunga. Na huyo kubwa jinga wasirra anayeday kuwa CDM itasambaratika ataanza kusambaratika yeye kabla ya CDM. c wakati wa kutishana hii anafikiri hilo lijisura lake ni kila mtu analiogopa??
  6. M

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Anatumia hilo tumbo kufikiria. Wenzake tunatumia vichwa. Ndivyo anavyomdanganya huyo jama wa kichwa cha nazi??:shock:
  7. M

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Kaishiwa mawazo huyu. anabembeleza ugali kwa staili ya kipumbavu.
Back
Top Bottom