Kwani ule ulaji ama inabidi wasaidie wapigakura mna asilimia 80 ya watanzania wapo vijijini na hawana hela hapo ukijumlisha PAYE si matatizo wakati wafanyabiashara wanapeta
Yani hii inatokana na mfuko xx kutaka kupata wateja kwa kuwalaghai mpaka wanatoa tshirt na kuwahadaa waajiriwa wapya badala ya kuuza product zao wao kazi ni kusema mifuko mingine je hii ni njia ya kuuza product ama wanaouza hizo product hawana marketing skills
Inawezekana hakujui kweli ila cha msingi kila kozi ina maana yake na faida yake na kwa sasa sio unachokisomea sio unachokifanyia kazi!!sasa mfano ndo wewe ungechagua kozi gani kati ya MSc Marketing na MBA Corporate
na kwa nini??
nilichokua namaanisha ni kwamba yani ni ipi kozi nzuri kati ya MSC Marketing na MBA corporate!!kazi sio issue mna mtu anasoma Computer science na anaenda fanya kazi za HR
Habari zenu wadau?mm ni mwanaharakati mpya na nilisoma elimu yangu ya chuo miaka mitatu ya kozi ya it na badae post ya business administration ambayo ni jeneral!!sasa swali langu ni hivi kati ya masters ya marketing na corporate management zote zinazotolewa na mzumbe compus ya dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.