Search results

  1. Mwalupale

    Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

    Salaam, Majuzi nilipata fursa fulani ya kwenda nchini Ujerumani kimasomo (Summer Schools), nikaenda Uhamiaji pale Kurasini kushughulikia passport. Lahaulaaa... Naambiwa mkulu kasema kigezo cha kupata passport ya kusafiria ni kuwa na kitambulisho cha taifa. Nikashangaa sana. Nikiangalia...
  2. Mwalupale

    MAONI: Mawaziri wa wizara wapatikane kwa kinyang'anyiro maalumu

    Habari zenu wana jamvi. Nimekaa nikawaza sana namna ya utendaji kazi wa hizi wizara zetu za serikali za kiafrika na "KUTAMANI" mambo yangekuwa kama ifuatavyo.. 1. Kila wizara apatikane waziri ambae sio wa kuteuliwa. Wasomi mbalimbali waliobobea kwenye masuala nyeti yahusuyo maendeleo ya...
  3. Mwalupale

    Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

    Salaaam wanajamvi. Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi. Imefikia mahali sasa watumiaji wa insta wengi niliongea nao wanasema wakilog in wanaingia kusoma posts za...
  4. Mwalupale

    Brands za biashara mtumieni DR. LUIS SHIKA KIBIASHARA

    Huyu jamaa ukiingia youtube yuko number #1 on trending for five days now. Nitashangaa makampuni mbalimbali ya kibiashara na watu wa marketing wasipomtumia huyu mzee kwenye biashara zao. I see an opportunity for both, huyu mzee na kampuni itakayomtumia. Angalizo tu ni kwamba makampuni hayo...
  5. Mwalupale

    Je, watanzania hatuwezi kuwa na passport bila kuwa na invitation letter?

    This is absurd, Ukienda uhamiaji kufanya mchakato wa kupata passport unaulizwa maswali mengi ambayo ni ya msingi sana lakini hili suala la invitation linakera sana. Wanalazimisha watu wawadanganye kwa kutafuta marafiki fake ulaya ili wapate invitations. Taifa hili inabidi baadhi ya mambo...
  6. Mwalupale

    Penzi jipya tamu khah! Sio kwa simu hizi aisee!

    Jamani sikukuu ya Meimosi inaendaje huko kwenu? Kumbe kuna watu huwa wanapagawa penzini kiasi hiki. Hizi simu ninazopokea kila mara sio za nchi hii. Na nilivyo mvivu basi najinafikisha tu. Anapiga simu kila mara sijui anachofurahia ni nini jamani? Sasa nimeamini ile nadharia ya kwamba...
  7. Mwalupale

    Nina tatizo gani mimi? Napenda sana kuwa peke yangu

    Habari zenu wanabodi, Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa napenda sana kuwa peke yangu. Iwe kazini, shuleni (nasoma chuo), kwenye sherehe, nyumbani au sehem yoyote ile. Hata nikiwa na mgeni home kwangu natamani aondoke. Haijalishi nigeni wa kiume au wa kike. All i need is to be alone and make...
  8. Mwalupale

    Kuna kundi moja la perfectionists yaani hawa watu huwa hawapendi kukosolewa

    Salaam wakuu Nilipokuwa nasoma degree yangu ya kwanza ya psychology nilisoma elective course moja inaitwa Eneagram. Pale tulisoma sifa mbalimbali za wanadamu (personalities) katika makundi makuu 10. Kuna kundi moja la perfectionists yaani hawa watu huwa hawapendi kukosolewa, ni wabishi hata...
  9. Mwalupale

    Bwana Tanzania na Bwana Dar es salaam

    Wana jamvi salaam Sio kwa nia mbaya. Ila hawa mabwana ukiwaangalia kwenye mazungumzo, matendo yao na matamshi yao utagundua umwamba mwingi, majigambo mengi, Defensive mechanisms kibao, kujisahau kama nao ni binadamu kama sisi tu, mamlaka kubwa na kutokupenda challenges/changamoto. Nyie...
  10. Mwalupale

    Je unaweza kufanya hili jambo ili upewe zawadi ya million 50?

    Pichani hapo ni bibi kizee anaitwa Emma Martina Luigia Morano kutoka Italy. Ndio mwanamke mzee kuliko wote duniani kwasasa. Amezaliwa mwaka 1899. Kwasasa ana umri wa miaka 116. Je ukiambiwa mpige makofi kumi ya nguvu Ili upewe millioni 50 utaweza kuthubutu?
  11. Mwalupale

    What happens if Trump quits the night before election day?????

    Democrats: HAHAHAHAHAHA Trump supporters: I don’t understand, he was going to win GOP: We are so unbelievably fucked Democrats: HAHAHAHAHAHA Clinton: *Get’s on phone with Trump* We did it, we actually did it. Donald, we just pulled off the greatest con of all time. Trump: What suckers, I...
  12. Mwalupale

    Ukipima na kukutwa na UKIMWI unaanza kunywa ARVs

    ARVs now for any CD4 count. People living with HIV (PLWHIV) would from October start anti-retroviral treatment straightaway given any CD4 cell count upon testing, the government has announced. Source: daily news. Wednesdays, August 24, 2016 WHATS YOUR COMMENTS?
  13. Mwalupale

    Kufanya ngono na mwanafunzi

    jana mtoto wa kike wa Dada yangu ana miaka 14 na bado anasoma alikutwa gheto akifanya mapenzi na Kijana mwenye umri wa miaka 17. kesi IPO police. je sheria inasemaje kwa vijana km Hawa walio na umri chini ya miaka 18. hukumu yake huwa inakuwaje. they are young and naughty. Kijana tunamuonea...
  14. Mwalupale

    Yuko wapi roy Mlaliki Maganga?

    Alikuwaga anatangaza kipindi flani cha mahaba kwenye kituo cha redio free africa. Alini inspire sana. Yuko wapi huyu mtu jamani?
  15. Mwalupale

    Toa ushuhuda; tuambie ulianzaje - tuambie ulipitia changamoto gani mpaka kufikia hapo ulipo

    Habari wanajukwaa Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Kwa wanaotetereka kiafya nawaombea uzima. Nimekuwa nikisoma thread nyingi humu zinazosisitiza kuhusu umuhimu wa kujiajiri. Na hii imetokana na ugumu wa soko la ajira lililopo kwasasa. Wadau wengi wamekuwa na guts za kusimama kwenye jukwaa...
  16. Mwalupale

    Waajiri wajitafakari kwenye suala la matumizi ya mtandao

    Habari wana JF Nimekaa nimetafakari hili suala nimeona niwashirikishe ili tutafakari kwa pamoja. Ni kuhusu namna hawa waajiri wetu wanavyong'ang'ania mtindo wa kizamani (analojia) katika kufanya recruitment ya watu kwajiri ya kuwaajiri kwenye nafasi mbalimbali kwenye makampuni yao. Kwakweli...
  17. Mwalupale

    Wanaopata shida vituo vya polisi ni watu wema tu, Wahalifu ni rafiki/partners wao

    Jana nimejionea mwenyewe hii kasumba ya hawa walinzi wetu wa amani. Baada ya kuibiwa pikipiki juzi usiku, asubuhi ya jana nikaamua kwenda kutoa taarifa/kufungua kesi kituo cha police ili nipate msaada wao kwa mujibu wa sheria. Nimefika pale na kadi yangu ya pikipiki na risiti niliyonunulia...
  18. Mwalupale

    Why islam needs a reformation now

    KWA WALE ANALYTICAL HII ITAWAFAA. UKIISOMA UTAGUNDUA KITU FLANI. JISOMEE MWENYEWE UJIFUNZE KITU KUTOKA KWA MWANADADA MUISLAM ANAEANDAA KITABU KUONGELEA HITAJI LA MABADILIKO KATIKA UISLAMU. “Islam is not a religion of peace”: by Ayaan Hirsi Ali As I revised the introduction to this book, four...
  19. Mwalupale

    CHRIS BROWN: Anatia huruma sana

    Mtandao wa kimbea na habari za mastar wa marekan na ulaya (hasa wa hip hop) wa TMZ umeendelea kumnanga kijana chris brown na kuchokonoa kila anachokifanya in a very negative way ilimradi tu kumuangusha kimziki. Chris brown amekuwa akilalamka sana Kwenye wall yake ya Instagram. Baadhi story za...
  20. Mwalupale

    Tahliso waamua kuitolea uvivu serikali

    Tahliso kufanya maandamano ya amani mpaka kwenye ofisi ya waziri mkuu keshokutwa kushinikiza serikali kuwalipa stahili zao wanafunzi wanaofanya fpt kwenye vyuo ambavyo bado havijapata pesa hiyo. Source; taarifa ya habari ya channel ten ya saa moja leo tarehe 13 august (sasaivi)
Back
Top Bottom