Search results

  1. A

    Nimesalitiwa ila nashindwa kumuacha. Je, nimuoe?

    We mzee acha kabisa, usijiingize kwenye majuto endelevu. 1. Aliweza kukusaliti, akapata na mimba; hili huwa ni endelevu na yawezekana kuwa ni tabia 2. Mwanamke akishakuwa na mtoto kunakuwa na bond kati yao; na hii yawezekana ikwa hadi kwa jamaa mwenye mtoto; hili litakuja waletea shida mbeleni...
  2. A

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Pole sana ndugu; Wewe si wakwanza kwenye suala hili; naamini tuko wengi, nikiwamo mimi. Mimi ilinitokea (japokuwa kwa kiasi na mimi nilichangia baada ya kugawagawa huko nje, na yeye kujua). Mimi nilipogundua hilo na yeye kutaka kuonesha mapembe nilishusha kipondo cha hali ya juu kwake...
  3. A

    Ipi nichukue kati ya IST na Golf 4 GTI

    Ni kweli kabisa, ila nadhani ni lazima pia hiyo availability ya spare ya IST ufahamu na UBORA wake, nenda pale KISANGANI ulizia fuel pump original ya IST; nikimaanisha kama hiyo iliyokuja na Gari toka ulipoiagizia; bei zinafanana kabisa. Mfano mrahisi nanunua oil filter kwa 30,000/=, naweka...
  4. A

    Ipi nichukue kati ya IST na Golf 4 GTI

    Kwa ushauri wangu usichukue VW Golf, Chukua VW Polo 2007 Model au juu; Utaifurahia na kufurahia maisha ya kuingia Petrol Station. Angalizo, spares za VW bei ni juu kidogo so unaweza tishika, ila spares zake ni original so zinakaa muda mrefu. Kila la heri kwenye uchaguzi.
  5. A

    Mkopo wa Pesa kwa gari

    Yaani ukopeshwe hela halafu umtask aliyekukopesha tena afanye biashara na gari yako? Hauko serious ndugu
  6. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina Note 3; Bei ni 500,000 tuuu
  7. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Jamani bado Note 3 ninayo; 550,000 tuu
  8. A

    Whatsapp>jinsi ya kupata sms na kuona calls za mtu mwingine kupitia whatsapp bila yeye kujua

    Inafanya kazi vyema, nimejaribu kwa simu yangu mwenyewe
  9. A

    The Power of Manhood ...Kwa Wanaume Waliopungukiwa na Nguvu

    Habari, Hizi ni Herbal, ambazo zinauwezo mkubwa wa kuongeza nguvu za Kiume na pia kusaidia wanaume ambao hawawezi kutungisha Mimba. Zinaitwa Oceaplus Capsule na Golden Oyster, nimewawekea maelezo yahusuyo kila dawa. 1. Oceaplus Capsule Function: 1. Improving kidney functions and body...
  10. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Miezi 6; iko vizuri; kama uko Dar city centre naweza kukuonesha
  11. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Miezi 6; iko vizuri; kama uko Dar city centre naweza kukuonesha
  12. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Note 3 Ninayo; ila nauza 550k; nimeitumia Mimi mwenyewe ...ina kila kitu chake
  13. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nope, 550,000 last price boxed
  14. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Kaka ni Note 3 Original; Bei hiyo hailipi.
  15. A

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza Note 3 original 600,000
  16. A

    Whatsapp>jinsi ya kupata sms na kuona calls za mtu mwingine kupitia whatsapp bila yeye kujua

    Aseee Mimi ndoa ya 7 years inasuasua kwa ajili hiyo; thou imenifanya nimjue mke wangu vizuri, wanawake ni viumbe hatari mno ...
  17. A

    Samsung note 2

    Laki nane nauza yangu imetumika miezi minne ina warrant ya Mwaka el nino
  18. A

    Samsung note 2

    Kabaizer mbona hujibu offer zilizopo?
Back
Top Bottom