Search results

  1. Wild fauna

    Msaada: uvimbe kwenye mrija wa uume

    Salamu wakuu. Nimepata wasiwasi baada ya kubonyeza kichwa cha uume nakuhisi kuna kama uvimbe kwenye mrija Wa uume. Msaada wenu na ushauri Tafadhali,ila sijapata maumivu yoyote
  2. Wild fauna

    Ushauri Mradi wa ufugaji wa nguruwe

    Salaaam wana Jf Nimepata wazo la kufuga nguruwe , naomba wenye uzoefu na hii kitu anisidie ushauri. Namna gani ya kufuga ili kupata faida . Nb: eneo ninalo la kutosha
  3. Wild fauna

    Naomba ushauri mtoto wangu wa miaka 10 analia lia sana

    Wana bodi salaam, Naombeni ushaur wenu hapa. Mtoto wang mdogo mwenye umri wa miezi 10 amekuwa na tabia ya kulia sana sana,asipo muona mama yake tuu ni kilio. Nilidhani pengine ana umwa nikampeleka hospitali kumpima malaria lakini imeonekana hana. Tabia hii ya kulia lia imeamza siku za karibuni...
  4. Wild fauna

    Msaada kwenye Smart Kitochi 4G, NCK CODE ni zipi?

    Tafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2, nauliza code hizo ni zipi?
  5. Wild fauna

    Nichagulie godoro bora la kutumia

    salaaaam ninataka kununua godoro kwa ajili ya kitanda cha sita kwa sita. tafadhali naomba ushauri wenu ni godoro la kampuni gani ni bora? kwa sasa natumia Tanfoam ila naona kama silielewi elewi hivi kwa maana kwamba ukikalia linakuwa kama chapati then linarud kwenye hali yake baada ya muda...
  6. Wild fauna

    Mtoto wangu mchanga tumbo linajaa gesi,anasumbua usiku hatulali

    naomba ushauri wana jf, katika familia yangu tumejaaliwa kupata mtoto wiki tatu zilizopita. ila mtoto tumbo linajaa gesi na mtoto anasumbua sana usiku wote. naomba ushauri wenu
  7. Wild fauna

    Chagua jina la kumpatia mtoto

    tafadhali wadau, nimejaaliwa kupata mtoto wa kike juz tarehe 09.09.2019 naomba mnisaidie kunichagulia jina zuri lenye kuanza na herufi J.
  8. Wild fauna

    Simu imetowesha amani katika familia yangu. Naitegemea 90% katika kazi zangu za kila siku

    Salaam wanabodi! Zaidi ya asilimia 90 ya shughuli zangu za siku zinategemea matumizi ya simu. Lakini simu hii imekuwa inaniletea ugomvi wa mara mwa mara nyumbani, kila siku ugomvi. Shida ni kwamba mke wangu amekuwa akichukua simu yangu mara kwa mara na kuanza kuikagua, akiona namba yenye...
  9. Wild fauna

    Ushauri: Tofali za Kuchoma Vs Tofali za block

    salaam wadau! ningependa kupata ufafanuzi na ushauri kabla sijafanya maamuzi. Nipo kwenye harakati za kuanza kujenga, ningependa kupata ushauri kuhusu tofali. Ninaishi moshi mjini na nategemea kuanza ujenzi sooon. je ni tofali zipi imara kati ya tofali za kuchoma na tofali za block? ushaur wenu...
  10. Wild fauna

    Ushirikina katika nyumba za kupanga: Nipo katika mtihani mzito, ushauri wako ni muhimu

    Hellow wana bodi, Mimi ni mpangaji wa nyumba, tupo familia tofauti tofauti 5. Katika nyumba hii tunayoishi mimi na wapangaji wenzangu hatukai na mwenye nyumba yeye anakaa mbali kabisa na sisi. Kwa bahati mbaya/nzur alinichaguwa kama mwangaliz wa nyumba yake. Kwa maana ya kuandikia watu...
  11. Wild fauna

    Ushauri; kuvimba miguu baada ya mimba kutoka

    Salaaaam jf baada ya kupata mimba ambayo hatukua tumepanga kwa sasa, tuliamua kufanya utaratibu wa kuiondoa ikiwa na wiki tatu tuu sasa kilichotokea ni huyu dada amevimba miguu na akitembea chini ya kitovu kwa ndani anaskia maumivu ya kama kidonda hivi naombeni ushauri wenu, kwann miguu...
  12. Wild fauna

    Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

    Salaamu, Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja...
  13. Wild fauna

    Uchaguzi wa makamu mwenyekiti Moshi

    Wanagombea madiwani wawili 1. Deo Mushi toka chama cha CDM 2. Filbbert Shayo anatoka chama cha NCCR Mchuano unategemea kuwa mkali kwani mwenyekiti wa halmashauri anatoka jimbo la moshi vijijini na mgombea deo mushi nae anatoka jimbo la moshi vijijin. Ila ndugu filbert shayo anatoka jimbo la...
  14. Wild fauna

    Dotto Bulendu: watumishi wa umma wanapiga simu kwenye vyumba vya habari

    Vyumba vingi vya habari kwa sasa vinapokea ujumbe kutoka kwa watumishi wa umma,wengi wao wanauliza hatma ya kupandishwa madaraja na nyongeza ya mishahara!. Wanasema huu ni mwaka wa tatu sasa hawana nyongeza ya mshahara na wengine hawajapandishwa madaraja!.Serikali ilifafanue hili ama ilitatue...
  15. Wild fauna

    Nipo kwenye harakati za kutembea na adui wa mke wangu

    Salaam wadau, Naombeni ushauri, Nilikuwa na urafiki wa kawaida na binti mmoja. Nilipokuwa kwenye harakati za kuoa alikuwa bado ni mtu wa karibu kwangu na kwa mke wangu. Ukaribu wangu kwa huyu binti ulifikia hatua hata mke wangu akamtumia kama msimamizi katika sendoff yake. Baada ya harusi...
  16. Wild fauna

    Nawezaje kupima kiwanja kwa gharama nafuu?

    Salaam Wadau mie nina kakiwanja kangu hapa mjini Moshi. Nimeenda ofisi za ardhi ili kuweza kuanza mchakato wa kukipima. Maelezo na gharama nilizoambiwa zimeniacha hoi na imebidi niondoke kimya kimya, Nimeambiwa mtaalamu kwenda site kukiona kiwanja na kuchukua coordinate then kuziweka kwenye...
  17. Wild fauna

    Watumishi Ofisi za NIDA kero tupu,zimejaa watumishi vihiyo

    Salaamu wandugu. Napenda nitoe masikitiko na dukuduku langu kwa hawa wanaotoa huduma ofisi za NIDA. Hawa watu wamekuwa wazembe na watu wanao ona bora tuu liende,unajaza form za vitambulisho baada ya muda ukirudi wanakupa hadith nyingine mara taarifa zako zimepotea, mara kajaze tuu form usiweke...
  18. Wild fauna

    Msaada! Mtoto mchanga kabonyea upande mmoja

    Salaam. Nimejaaliwa kupata mtoto mchanga na anatimiza mwezi wa pili kesho kutwa. Nikiri kwamba huyu ndie mtoto wangu wa kwanza, leo katika kufanya observation ya mtoto nimeona kabonyea upande mmoja wa uso, nimejiuliza sana nikakumbuka huwa tunamlaza kwa tumbo na amekuwa akilalia huo upande wa...
  19. Wild fauna

    Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba

    Habar wadau, Napenda kupata ushauri juu ya ujenzi.je ni vitu gan na muhimu vya kuangalia ukitaka kujenga? Je kati ya tofali za kuchoma na tofali za BLOCK zipi ni bora zaidi? Nataka kujenga kanyumba flani cha kisasa ambacho ni simple, smart and sensible. Bahati mbaya hata ramani bado sina ila...
  20. Wild fauna

    Msaada mke mjamzito na ana tatizo la kupungua kwa damu

    Salaaam jf Naomba ushaur na msaaada wa mawazo kwenu mke wangu ana ujauzito wa karibu week 32 sasa. Ameenda hospitali na akaambiwa ana tatizo la damu na wakamwambia inabidi afanye utaratibu wa kuongeza damu kwa kula mboga mboga. Pia wamemwambia kuhusu juice ya rozela. Ningenda kupata ushaur...
Back
Top Bottom