Katika moja ya matamko yaliyotelewa na Serikali kupitia Sera Mpya ya Elimu ni kuifanya lugha ya Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini.
TAMKO:
3.2.19. Lugha ya Taifa ya Kiswahili itatumika kufundishia na
kujifunzia katika ngazi zote za elimu na mafunzo na...
"Utasikia watu "yani hata ualimu amekosa?"
Nenda chuoni UDSM katika zile course za ualimu BAED, BED, BSE na kadhalika kisha uliza matokeo yao. Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kwamba kwa couse ya BAED wanafunzi wanaodahiliwa pale ni kuanzia DIV 1 hadi cut off ya 2.10. kisha nenda UDBS kwenye...
Duh kazi bado kubwa, chukulia mchango wake positive basi maana kwa uandishi huu kweli kuna walakini na elimu yako.
Hakukuwa na lazima ya kujibainisha kama msomi wa chuo kikuu
Nashukuru sana kwa ufafanuzi huu mkuu, nje kidogo ya mada.. naomba unielekeze namna ya kuextend internal memory ya simu. Maana hii kila nikiongeza application inalalama low space pamoja na jitihada za kuhamisha application kwenye Memory Card (sio zote zinakubali kuhama) lakini tatizo limeendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.