Search results

  1. H

    msaada wadau nahitaji laine ya tigo pesa

    nnashida na line ya tigo pesa muongozo please
  2. H

    Msaada: Kwa anae wajua hawa button pay

    wadau naomba msaada wenu kuna hawa jamaa wa button pay wanatoa huduma za uwakala wa luku star times na vocha za kurusha na modem topup mitandao yote je kamishen zao zimekaaje na vp uhakika wao katika network
  3. H

    msaada who is compliance executive in relation to accounting

    natanguliza shukuran naomba kwa anae jua huwa anafanya kaz zipi kwenye company wwote
  4. H

    naogopa sana,..naomba msaada wakuu

    Am 24 na my girl 21 Nampenda na cna mashaka juu ya mapenz yangu kwake. Nimejiuliza mara nying kikaona kiukweli nampenda mzur sana hasa tabia. Tatizo yupo serous anataka ndoa huwa tuna shindanaga kwa hoja kama nimuoe au tusubiri mara zote ananishinda mambo mengi ya msingi yametimia. Ila mi nina...
  5. H

    vitendawili na methali za sasa

    1. Simba mwendapole.. Huyo ni Sharobaro 2. Asiyefunzwa na *****.. Ujue Mama hajapitia Ualimu 3. Zimwi likujualo.. Lilikuona Sehemu 4. Chelewa Chelewa.. Ukizikusanya utapata Ufagio 5. Hakuna Masika.. Isiyo na Matope 6. Mpanda Ngazi.. Ataota Vigimbi 7. Pruu mpaka Maka.. Kaenda Kuhiji huyo...
  6. H

    aptitute test za deloitte

    msaada wakuu nan anajua zilivyo hizi aptitute test za deloitte
  7. H

    wakuu hivi pwc wameipata tena baada ya aptitute test

    toka nifanye nao aptitute test mpaka sasa. Kwa anaefahamu utaratibu wao wakufahamisha watu matokeo ya aptitute msaada plz
Back
Top Bottom