Search results

  1. I

    Hii ndio sababu Mbunge Joshua Nassari kubambikiwa kesi na Polisi

    Laki Si Pesa. hujui Meru wala wameru kaa kimya, dozi ifanye kazi. Na mbado takula kwako tu. Sanda Kanna!!
  2. I

    Mtaani kwangu ccm imedondokea "li-pua" kwako je?

    Kwetu home Kata ya Kikatiti,- Kijiji cha Kikatiti Na Kijiji cha Nasholi CDM IMECHUKUA uenyekiti na kushinda vitongoji vyote. What a happy move. Mungu bariki UKAWA Mungu bariki Tanzania. Na bado.
  3. I

    Tabia mbaya kumi zinazofanya ushindwe kuwa na akiba "savings"

    Very well said mkuu. A Vital lesson to me et all. Barikiwa mtumishi wa Mungu umetimiza wajibu wako!
  4. I

    Maisha yangu kama Makamu M/kiti BAVICHA na Hofu ya kuongozwa na akili ndogo

    very well said elly b. Mwenye sikio na atasikia.
  5. I

    Siku moja kabla...

    Hongera sana King'ast na wengine mliomwezesha kijana. lmenikumbusha familia moja iliyowahi kunifadhili A level sitakaa niwasahau na leo mimi ni Lecturer I always pray for them najua siwezi kuwalipa. Wapendwa mmepanda mbegu na hakika amsaidiaye mhitaji anamkopesha Mungu. mtalipwa.
  6. I

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Kweli, akili ni mali. Eeh mungu wa mbingu na nchi tupe ufahamu,. Hawa wote ni wagonjwa, mbaya zaidi hawaujui ugonjwa wao. I thought they would lead the way, this is disgusting.
  7. I

    Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    Biblia inasema katika kitabu cha mithali,................. Mdomo wa -------- hunena bila hekima, bali hata mtu mjinga akikaa kimya huonekana kuwa na hekima.
  8. I

    Wanaofikiri kuna 'contempt of court' kwenye taarifa ya CC ya CHADEMA, wafanye hivi...

    Mmmh inasikitisha kuona yanayotokea. zitto ulikuwa moyoni mwa wengi wenye upeo, lakini kwa hili tunapata mawali mengi kuliko majibu. Nafikiri tusubiri maamuzi ya mahakam, lakini kwa upande wangu kwasasa natamani, uondoke tu chadema kama kufa na ife, kama kupona na ipone. Naamini haitakuwa mwisho...
  9. I

    Dk. Ulimboka: Niko fit!

    Mungu hakika wewe ni mkuu. Unastahili sifa, enzi, kuu na heshima. Mkono wako ni hodari nani awezaye kupingana nawe??
  10. I

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI - Spika, Waziri Mkuu wamuonya Kikwete

    mhhh kweli tumechoka Baba Riz jamani
Back
Top Bottom