Search results

  1. G

    Kustaafu kwa manufaa ya umma

    Ndugu wanajamii forum nisaidieni nini hasa maana ya kustaafu au kustafishwa kwa manufaa ya umma? Hapo nyuma kidogo neno hili lilitumika sana na wakati fulani Rais alitangazwa kuwa amemstaafisha mtumishi fulani kwa manufaa ya umma.Je kitu hiki kipo hata leo , na kama kipo kinatumikaje , na kama...
  2. G

    Ni kweli uhuru walionao wanafunzi mashuleni kwa sasa umemomonyoa nidhamu yao?

    Leo nilipokuwa nikisikiliza mapitio ya magazeti STARTV nilivutiwa na habari moja ambapo mwalimu mmoja ameeleza kuwa mwanafunzi hapaswi kupewa uhuru kipindi chote cha uanafunzi ili kudumishana na kuimarisha nidhamu.Nakumbuka nilipokuwa shuleni walimu walitueleza mara kwa mara kuwa mwanafunzi...
  3. G

    Ushirikiano wa china na nchi za afrika bila kuingilia maswala ya ndani ni ukombozi?

    Ushirikiano wa China na nchi za kiafrika unamiweka mashakani.Ni vipi nchi fisadi kama Tanzania zikiachwa huru kutumia misaada zinayoipokea kutoka China bila serikali ya China kufuatilia kama pesa yake imetumika katika miradi iliyokusudiwa?Ni vipi nchi hizi fisadi zinazoendeshwa na vitisho toka...
  4. G

    Mabadiliko ya sera ya maji na rais kikwete ni sawa lakini...

    Jana rais ameagiza kufanyika kwa mabadiliko katika sera ya maji nchini ambapo sasa wawekezaji binafsi wataruhusiwa kuwekeza katika sekta maji kupunguza ukosefu wa maji uliopo kwa sasa.Nakubaliana na mabadiliko haya .LAKINI Sera hii itawaruhusu wawekezaji kutumia miundo mbinu iliyopo kwa sasa au...
  5. G

    Je Serikali ina nia ya kuvuruga Elimu katika vyuo vikuu vya umma?

    Nadhani pia itasaidia kuondoa ukiritimba wa malecturer na maprofesa wanaodhani kuwa wao pekee ndo wamesoma kuliko watanzania wote kwani baadhi ya wazee hawa wana viburi vya elimu ya kikoloni kiasi kwamba hawaamini kama kuna watanzania wengine wenye uwezo wa akili zaidi yao.Kitendo cha kufelisha...
  6. G

    Wizara ya elimu someni haya.

    SIDHANI KAMA KWELI KUFELI KWA WANAFUNZI HAWA NI MITIHANI MIGUMU INAYO TUNGWA NA WALIMU WETU.KILA MMOJA KUANZIA MWANAFUNZI MWENYEWE , WAZAZI , WALIMU NA SERIKALI WANAHUSIKA KWA ASILIMIA SAWA.WANAFUNZI HAWASOMI KABISA , WAZAZI HAWAWAJIBIKI KIMALEZI YA WATOTO WAO WAMEWAKABIDHI WALIMU KAMA...
  7. G

    Waziri TAMISEMI saidia walimu Sengerema

    Nasikitika kuwa walimu wilaya ya Sengerema wanatendewa isivyo hasa katika swala zima la madai yao, zikiwemo kupanda madaraja, likizo na matibabu. Ndani ya mafaili barua za madai halali zinaondolewa hivyo kushindwa kulipwa madai stahiki.Pia makato yasiyo halali katika madai halali. Mfano...
  8. G

    Sengerema: Walimu hawajalipwa madai yao toka waande madaraja mwaka 2010

    Walimu wengi waliopandishwa madaraja mwaka 2010 katika wilaya ya Sengerema bado hawajalipwa stahiki zao .Mwalimu aliye nipa habari hii amedai mpaka leo hawajui hatima yao itakuwa lini. kinacho mshangaza zaidi mwalimu huyu ni kwamba kwa mjibu wa taratibu za upandaji madaraja; walimu hao...
  9. G

    Mgomo chuo cha Mandela Arusha!

    tatizo ni Serikali dhalimu iliyopo madarakani hakuna ukaguzi maalumu unaofanywa kwani unaweza kukuta wana TEN% hapo hivyo ktoa pesa yote ni kitu kisicho wezekana.Aliye waweka hajui kama aliweka watu na wala siyo malaika ufuatiliaji haupo nawasihi hao maintellectuals wasiogope kudai haki zao.Na...
Back
Top Bottom