Search results

  1. temboemll

    Kwa channels hizi digitek wana jipya?

    hebu nipe channel zinazopatikana bila kulipia je emmanuel tv inapatikana?
  2. temboemll

    Tigo internet mega boksi

    Kwanza je? Simu yako ina kamata 3g(umits) nokia asha karibia zote hazina na pia samsung karibia nyinge hazina nenda kwenye network setting limit umits ukiona mnara upo jiunge ufaidi. Hatakwa modem! Unapata 2gb za kusaf na 150mb za kudownload kila siku @ 2800@wk! Unapata 50gb za kusuf na 600mb...
  3. temboemll

    Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

    Nacho fahamu nchi yetu haiendeshwi na raisi kuna madereva wanamrimonti kama katv. Na kuingia ikulu chadema sio leo kazi moja kuvunja chain iliyounda na ccm na wageni wakila siku na wazzee wetu sio leo ikulu ccm kuachia..
  4. temboemll

    vodacom net bundle v/s airtel net bundle

    mkuu hii ya tigo haikufai 3g sema ya 3.5g inafika 2.5mbps haikai sana @2800 @wk ila ipo limited kuwa kila siku inapewa 150 mb za kudownlolad na 2gb zakusafu every dy wk=150*7~1gb za kudowload tu na 2gb*7=14gb za kusaf at wk @2800. mi natumia 8500@mwezi na pata 600mb za kudownload 50gb za kusaf...
  5. temboemll

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    It's not a bad start but always magic of arsenal is the only team which breakdown the unbeaten dead lock of unfield. liverpool manager RB he could remain only if he will collect 6 points from sunderland and mancherster, any drawn he will be swap away. Nightmare have rule RB head....! Sahin and...
  6. temboemll

    Mlio omba mkopo heslb angalieni hapa mjifunze mapemaaa

    Kweli Kufanya kosa ndio kujifunza na kujaribu kipya
  7. temboemll

    Amini usiamini msimu wa ligi kuu bara utaisha hivi:

    Ligi kuu bara kazi ipo kweli kweli! Simba na yanga wote wasipo shika nafasi 2 za juu nitajua kweli mpira wa bongo utakuwa umeongezeka kwa 15% cha kiwango
  8. temboemll

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal subirini mpata kipigo toka kwa liverpool ndio muanze kujipanga upya bado hamja pata starter
  9. temboemll

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Reina agger skrtel johnson enrique sahin allen gerrald borini sterling suarrez Ft: liverpool 4-0 arsenal match average age; 24 yrs
  10. temboemll

    Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA

    Usiangalia ukubwa wa chuo wakati bichwa kimejaa maji na hapo sio ticket ya maisha bora jifurahishe moyo na baadaye uje kumkukata ugumu wa maisha upambane nae, ndio ujue hana rafiki na weye sifa kama zako!
  11. temboemll

    viwango vya internet vipya mitandao yote tanzania

    Mega box tigo ilimradi uwe na 3g devices 8500@month unapata 50gb za kusafu 600mb za kudownload kila siku. Kama unatumia 2g na edge na samsung za kawaida ni msiba usijiunge kabisa
  12. temboemll

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Next Arsenal wajiandae na kichapo, man city bahati imemkuta! Ze legends.
  13. temboemll

    3g ya vodacom mikoani

    Niliwauliza tigo wakasema 3g yao inapatikana dar sehemu zote, mikoani ni kwenye mji tu so hapa voda itakuwa hivyo wa vijiji hata zantel kwa speed ya edge wako poa sana!
  14. temboemll

    TIGO msitufanye washenzi bana aaah !! ona hii juu ya Blackberry.

    nokia X2 ni 2g network, bado sijawaelewa nokia hawatujali kabisa hizi double line zao karibia zote ni 2g na hamna zenye document viewer zote s40 hapa ndio wananiua kabisa...
  15. temboemll

    TIGO msitufanye washenzi bana aaah !! ona hii juu ya Blackberry.

    sijajua tigo wana beef gan na samsung au kwa sababu edge, line yangu nikiweka kwenye nokia yangu yenye 3g iko speed ila niijaribu kwenye samsung kama 2 speed unachoka mwenyewe "TIGO INTERNET INATEGEMEA NA SIMU/DEVICE YAKO" Naomba wenye samsung wanao faidi intanet ya tigo na unipe model yake...
  16. temboemll

    Airtel Internet yenu Haieleweki

    acha kupoteza wenzako halafu penda kuwa mdadisi umejaribu ofa ngapi za tigo, zantel na kama huna chombo chenye 3g hapo utalalamika kila siku,
  17. temboemll

    The Premier League is Back: Your Predictions

    Liverpool 3-2 man city man united 2-1 fulham stoke 0-1 arsenal chelsea 2-2 newcastle watakao onekana kwenye score sheet borini, suarez, van perse, carzola, torres, lampard, tevez/dzeko, cisse, dempsey.. ...
  18. temboemll

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Je man city ataweza vunja historia yake kuwa hajawahi mfunga liverpool katika uwanja wa ANFIELD kwa season 9 mpaka sasa!? Na bado itabakia historia
Back
Top Bottom