Search results

  1. Luushu

    Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Mi sitaki vita maana athari zake zitafika mpaka kwetu
  2. Luushu

    Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Kwani ni bunda basi au ally's basi au yote mawili yamegonga treni?
  3. Luushu

    Kupandishana vyeo kijanja kunatuumiza kata ya Kyengege Iramba Singida

    Mwongozo unasema walimu wakuu waanzie diploma kwenda degree Sasa wakiwepo wengi ndio tuanaangalia nani ana uwezo kuwazidi wengine,Hali kadhalika ma weo nao mwongozo ni huo huo Pointi yako ya uzoefu ni sawa Ila Sasa ungekuwepo katani ungejionea mwenyewe uwezo wao ni hafifu wale walio hamishwa...
  4. Luushu

    LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Bidhaa nazo zinapanda na pango linapanda wakulima mipaka imefungwa mahindi Bei cheee kutoka kaki hadi fifty mbolea tisini tutafika tu
  5. Luushu

    Kupandishana vyeo kijanja kunatuumiza kata ya Kyengege Iramba Singida

    Habari Wana jamvi, Huku kwetu kumekuwa na ka staili ka KUPANDISHANA VYEO KIJANJA, kwenye kata yetu tulikuwa na weo mwenye Degree na kazi alikuwa anachapa ipasavyo akahamishwa kapelekwa kata jirani ya ulemo na kyengege akaletwa veo mwenye certificate kutoka Kijiji Cha kidaru kuja kuwa kaimu weo...
  6. Luushu

    Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika

    Chawa wamezidi mpaka mawaziri ni chawa,ukisimama jukwaani usipo msifu mama utaondolewa kwenye nafasi yako
  7. Luushu

    Habari wakuu

    Nimerudi tena
  8. Luushu

    Mbegu ipi ya mahindi inastawi vizuri huku Singida

    Ndugu Wana jamvi habari ya leo Niko Kanda ya Kati Singida nauliza ni mbegu ipi ya mahindi inastawi vizuri huku. Msimu umeanza niweze kupanda.
  9. Luushu

    Nimepita Daraja la Kigamboni kwa mara ya kwanza, nimesikitika

    Kumbuka hili daraja ndio lilimuondoa mwenda zake wizara ya ujenzi enzi ya jk akapelekwa kuhesabu samaki na katibu wake akapigwa ubalozi maana wao walipinga gharama kubwa za ujenzi baada ya kutolewa ujenzi ukaanza
  10. Luushu

    Jamal Rwambo, Juma Kampira na Mzee Matimbwa wamcharukia Diamond Platnumz

    Ku ukweli huyo jamaa nyimbo zake huwezi zitazama ukiwa na wazazi wako,ninapenda muziki ila sio wa huyu mtoto ata akipiga pesa vipi sishawishiki kununua mziki wake
  11. Luushu

    Wadau wahoji uhalali wa Daraja la Tanzanite kuwa bure huku la Kigamboni likiwekewa Tozo

    Mwenda zake aliwaambia alipo waziri wa ujenzi,na chema la maji taka likaiga kusema asitaka tozo ahamie burundi
  12. Luushu

    Jbl wires speaker Jbl Extreme 3 hebu mwenye uelewa na hizi speaker naomba anisaidie

    Mi natumia spika za jbl Kwa muda mrefu ziko vizuri sana
  13. Luushu

    Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

    Atatikea Dr shika wa kuvuruga mnada
  14. Luushu

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Kutengeneza magari ya mabox au mabati ya madebe watoto wa siku hizi Wana nunuliwa dukani
  15. Luushu

    Naomba kufahamu kesi alizowahi kushinda Adv. Kibatala

    Sasa mbona hizo kesi alizoshinda hazitajwi na wengine tujue
  16. Luushu

    #COVID19 Tuliopata Chanjo ya UVIKO-19 Tukutane hapa. Nini kilikutokea ulivyoipata?

    Bado hujaguswa kwenye familia au Kwa marafiki ikikufika utajua iko mkoa gani
Back
Top Bottom