Search results

  1. E

    Ni mambo gani makuu ya moja kwa moja aliofanya Asha roz migiro yanayofanya afikiriwe kuwa PM?

    Ni jambo la kushangaza kuona magazeti mengi yakimzungumzia mama huyu kama mtu anaepewa nfasi kubwa ya kuukwaa uwaziri mkuu.Kiukweli mama huyu ukiwauliza watanzania walio wengi amewafanyia nini cha kukumbukwa;jibu litakuwa ni HAKUNA.Tabia hii ya kuwapigia watu upatu sio nzuri kwani wakati...
  2. E

    utoaji wa notes kwa wanafunzi wa elimu ya juu unadidimiza kiwango chaelimu

    nimekuwa nikiangalia mada mbali mbali kuhusu usomaji wa vitabu.naamini kama msomi wa chuo kikuu mwaka wa tatu hawezi andika kisomi hili ni jibu tosha ni wakati wa kuwaelekeza au kufundisha na kuwapa kazi zitakazowafaya wasome.hii itakuwa na faida nyingi kwa mtu mmojmmoja na jamii kwa ujumla
Back
Top Bottom