Heshima kwenu wana-JF,
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni vigezo gani vinatumika ili vita yeyote kuwa mentioned kama ni Vita kuu ya Dunia?Na ni nani anajukumu la kusema kuwa hii ni Vita kuu ya Dunia (is it UN)?.Mpaka sasa kuna Vita kuu ya Dunia I & II.
Nilikuwa nafikiri kuwa moja ya kigezo...
Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa kwa niaba ya serikali amepokea sh 7.9 bilioni kutoka benki ya NMB ikiwa ni gawio la serikali kwa mwaka 2011 kama ilivoidhinishwa katika mkutano wake mkuu uliofanyika Juni 2, 2012.Gawio hilo lilitokana na serikali kumiliki asilimia 31.8 ya hisa katika benki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.