Search results

  1. K

    UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    My friend Paskali, I wish to remain silent on this issue.
  2. K

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Hakuweza kuwatafuta kipindi kile kwa vile alikuwa anajitayarisha kuwa mchungaji. Hivyo hakuona sababu ya kuwatafuta.
  3. K

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Kweli kabisa. Wengi hatujui hao wajanja wameshinda kesi ya auna gani. Ndugu zetu wasomi hebu tusaidieni hapo.
  4. K

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Hilo ni moja ya matatizo ya takwimu aka statistics. Unachokiona hapo ni tofauti kati ya mabilionea kama Mo na yule fukara asiye na mbele waka nyuma halafu unachekelea kama zuzu.
  5. K

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Kama Kama nimekuelewa, huo mchakato wa kumpata mkandarasi mpembuzi yakinifu umefikia asilimia 99.9.
  6. K

    RC Makonda: Jangwani kujengwa daraja la juu kila upande kuinuliwa mita 300, boti kubeba watalii kuwa kivutio

    Huu ndio usanii wa Wanasiasa. Sishangai kwa nini hadi jana hilo daraja halijajengwa na pesa ilishatolewa.
  7. K

    Mzee Hashim Rungwe: Makonda anataka awe chawa mkuu wa Rais Samia, analazimisha asikilizwe yeye sana

    Hakuna kifungu chochote cha sheria kinachozungumzia chawa na hivyo ni wazi hawezi kuvunja sheria kwa kuwa Mkuu wa machawa.
  8. K

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Umenikumbusha siku ile alivyokuwa anarap pale mjengoni.
  9. K

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Paskali huuma na kupuliza. Kamsifia sana jamaa huyu katika mada zake nyingi humu jamvini hata kufikia hatua kwamba anafaa kuwa Mkuu wa Nchi. Fikiria sasa ni Boss wa Mkoa tu. Je akipewa zaidi ya hapo mambo yatakuwaje?
  10. K

    Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    Hapo namba 4 umewagusa wataalam ambao hutumia hizo title zao kutukoga. Lakini pia kuna Wanasiasa ambao wao hutaka na kukazimisha waitwe "waheshimiwa". Wapo wengine ukimuita jina lake pasipo kuweka hiyo title wala hawaitikii. Kibaya sasa wanataka hata wenzi wao waitwe kwa kutumia hilo neno...
  11. K

    Nyaisuka Chacha Mohono auawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Serengeti

    Lakini kama sikosei wahusika wakuu katika hiyo Operation tajwa hawakuwa Askari wa Wanyamapori.
  12. K

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Ila nyongeza ndio inasumbua hapa. Si kwamba anapika tu, bali pia anapakua. Akifikiria hapo anashindwa jinsi ya kumuacha!
  13. K

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Yote sawa ila sikubaliani na hilo la kutoa mali yako yote kwa kanisa ukitegemea ndio njia ya kwenda huko. Hii ni kama hongo tu haina nafasi kwa Mungu.
  14. K

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Hapo kwenye RIP, are you serious!
  15. K

    Jerry Silaa ni mtoto wa Dkt. Slaa?

    Vivyo hivyo kwa riziki na ridhiki.
  16. K

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Yaelekea wote ni mafisadi. Kodi ni million 200. Makubaliano alipe million 24 Ila atapewa demand note na risiti halali ya milioni tatu. Mchezo upo hivyo.
Back
Top Bottom