Naomba kufaham kidogo je? Mbunge anaweza kuomba muongozo ama kutoa taarifa mara ngapi katika hoja iliyopo mezani, tafadhali hebu nijuze kwa mujibu wa taratibu na kanuni za bunge
Kila chenye mwamzo kina mwisho wewe ucwe nduza mwache afunguke mchawi tumjue nchi hii inahitaji ukombozi kwakweli ztto ztto ztto watu wanakufa sababu ya ukombozi kwa bendera ya cdm hakika mungu yupo nasi cku zote we mwanakigoma babako akianza kubomoa ukuta wa nyumba mnayoish utamwacha kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.