Search results

  1. N

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Ndugu zetu huko nyumbani Tanzania mnapo post chochote humu jaribuni kutupa habari kamili, mfn Yanga kashinda bao 4 kwa 1 dhidi ya simba, wafungaji walikuwa kama ifuatavyo: Yanga- Bao la kwanza dakika ya 4 limefungwa na Mohamed Hussein, Bao la pili limepatikana dakika ya 17 mfungajiakiwa ni...
  2. N

    Yesu na Maria Hawa wapo tere Arusha...

    Masai hathiminiki kiasi hicho Kweli?
  3. N

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    unajua siyo kila lazima utoe criticism maana ushindi wa 7-1 siyo mdogo. ila kwa kuwa APR ilishinda 7 kwa 0 dhidi ya team hii ndiyo maana unaweza sema hayo! but mimi nasema kuombea ushindi wa goal 12 au zaidi ingeshusha hata radha ya mashindano yenyewe na kutoa taswira kuwa mashindano hayana...
  4. N

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    kundi la simba na yanga wote wanatoa timu tatu kila moja. hivyo hata hata APR na Atretico wakipanga matokeo yanga wataqualify tu kaka... naamini simba na yanga watasonga mbele kama kawaida.
  5. N

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    Yanga kuna kila dalili akamaliza round ya kwanza ikiwa katika nafasi ya tatu, na kwa hiyo atakutana na mshindi wa kwanza kundi A ambaye kwa hali ilivyo hawezi kuwa simba labda miujiza itokee maana URA inaweza kuwa ya kwanza au katika kundi hilo au wakongoman. But siyo simba! hivyo basi labda...
  6. N

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    Rage Aden ni mtu wa mbwembwe tu hana lolote la kufanya si unajua tena wana siasa wanaua tu mpira! mtu ninaye mheshimu pale Simba ni Kaburu huyu ndiye mtu muhimu sana pale simba na hata usajiri anakuwa mstari wa mbele sana kusaka wachezaji lakini siyo Rage. si unaona hata suala la Kelvin Yondani...
  7. N

    vp crdb na nmb?

    Nepotism, Favoritism, Corruptions in monetary terms, and mankind:
  8. N

    CHADEMA, umati wa Jangwani si nguvu ya chama! Ni kuchoka kwa vijana

    this are just words of re grating soul; hawana jipya zaidi ya majungui na kuiba Hela za kodi za wazarendo.
  9. N

    Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?

    Top Ten intelligence Agencies: Intelligence agencies play a critical role in the overall military doctrine of any country. Tanzania has also created its own intelligence agency to protect and safeguard its supreme national interests. Till to date our primary intelligence agency (TISS) to some...
  10. N

    If this will be taken into account then LULU will be Set Free by the Court.

    Thanks brother for such criticism. but despite your comment you never mentioned what has been mixed up, i will real appreciate if you put it clear and how was supposed to be done. thanks any way!
  11. N

    If this will be taken into account then LULU will be Set Free by the Court.

    wewe, mbona umekurupuka tu kujadili hiyo hoja? nani anamtetea Lulu? mimi nimeandika kile ninachokisikia na kulingana na nikisikiacho hayo ndiyo mawazo yangu...! sasa suala la kufungwa au kuchiwa huru si langu au lako ni Mahakama... kuhusu umri wewe si umesikia Lulu ana umri wa aina 3. miaka 18...
  12. N

    If this will be taken into account then LULU will be Set Free by the Court.

    Poor Lulu the suspected killer of Steven C. Kanumba. I think the girl was to young to engage in love relationship at the purported 17 years of age. that being the case she didn't knew what she was doing through out their relationship with the deceased Kanumba the Great. on the other hand i...
  13. N

    steve nyerere kwny hili umechemka

    Hamna alilikosea coz yeye ameeleza what he saw, few dayz alipokutana naye..., sasa achague maneno ya kusema what does it mean kama siyo kumtaka Nyerere aseme uwongo? tubadilike na ifike mahali tuwae original kwenye midomo yetu.
  14. N

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Nadhani haikuwa sahihi sana kwa Mh Ngoyai L Edward kujiingiza kwenye kampeni za Arumeru, maana si tu hangefanikiwa kumfanya mgombea wake kushinda, bali anajichafua na mbio zake za kuwania Urais 2015. maana sasa Taa ya Arumeru kwa CCM na Lowasa imezima..., ingelikuwa sahihi na salama kwa Lowasa...
Back
Top Bottom