Search results

  1. K

    Tatizo la kuchangisha walimu mchango wa mwenge

    Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha. Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo. Hii...
  2. K

    Ni kwanini wizara imepeleka wanafunzi wa A-level Dr. Nchimbi Secondary School?

    Hebu tujadiliane kidogo, kwani kuna allocations ambayo imefanyika kwa kupeleka wanafunzi sehemu ambayo ilikuwa haijaandaliwa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha tano. Wanafunzi hao wamepangwa katika shule ya sekondari ya Dr Nchimbi. Mpaka sasa wizara haijatoa tamko la hao wanafunzi...
  3. K

    Leo Nimekutana Na Mmasai

    leo nimekutana na mmasai mmoja akawambia vijana walioko ccm ana ugonjwa wa fistula tunaomba kujadili hilo. pili kasema eti mbona ccm hawatoi viatu. kwanini wanatoa kofia na t-shirt tu.
  4. K

    Kuna mgomo wa Madaktari katika hospital ya DDH Bunda

    Kunakoelekea mgomo wa madaktari katika hospital ya DHH Bunda. Hapa wagonjwa hawana la kufanya wamekaa kwenye mabechi tu. Madaktari wako kwenye ukumbi wa mkutano wanaimba mshikamano daima. Kiini cha mgomo kinaelezwa kuwa ni madai ambayo wanadai likiwemo la mwito wa dharura. Chanzo mimi...
  5. K

    Kuna nini Bunda sekondari

    Nimeshangaa sana leo baada ya wageni kutoka TAMISEMI kufika katika shule ya sekondari BUNDA, kilichotokea ni mkuu wa shule kulazimisha mlizi kukata umeme ili wageni hao wasifanye kazi yao iliyowalete. hao ndo wakuu wa shule tulionao kama wanaweza kuzima umeme ili hawa wageni kutoka tamisemi...
  6. K

    udom huu ni wizi mkubwa

    kwa wale wanachuo waliomaliza mwaka masomo 2011/2012 waliokuwa BED SCIENCE walikuwa wanadaiwa 1000000 kwa sababu HESLB ilileta hela pungufu. sasa cha ajabu ni kuwa wahasibu wa college ya education wanakulazimisha kuwapa hiyo pesa kati ya 800000 au 900000 huu ni wizi mkubwa udom.
  7. K

    Huyu ndo Naibu wa TAMISEMI na elimu yake

    MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Kassim Middle Name: Majaliwa Last Name: Majaliwa Member Type: Constituency Member Constituent: Ruangwa Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 980, Dodoma Office Phone: +255 785 205...
  8. K

    mwenye kitabu cha mafisadi wa elimu kilichoandikwa na Kainerugaba

    kwani leo katika kipindi cha maswali na majibu kuna mbunge aliomba mwongozo kuhusu mafisadi wa elimu kilichoandikwa na Kainerugaba.kama kuna mtu ana copy ya hiyo kitabu tunaomba utuwekee ili kuweza kuwajua hao mafisidi wa elimu hapa nchini.
  9. K

    huu ni ufisadi wa elimu halmashauri ya bunda.

    ufisadi ninaouzungumzia ni kwa kumpa zawadi mkuu wa shule ya sekondri ya bunda ya kuwa mfanyakazi bora wakati matokeo ya mtihani kidato cha nne kuna ziro 133 na hakuna hata division one. je ufanyakazi bora unatoka wapi?.
  10. K

    Bunda sekondari kitaaluma inaelekea shimoni.

    kama mkuu wa shule aliyepo ataendelea kuwa mkuu wa shule inawezekana kukakosekana hata division two kwani yeye hana muda na kushughulikia taaluma ila mambo yake ya kuchukua pesa za shule na kufanyia mambo yake binafisi. nawaomba wadau wa elimu katika jamii forum wanaotokea bunda ni hali ya...
  11. K

    jkt waendelea kusota bunda day

    jkt walioletwa bunda kwa ajili ya uchaguzi wa kata ya nyasura sasa wanasotea posho waliokuwa wanatakiwa kupewa mpaka sasa wanapigwa danadana na mkuu wa wilaya. mmoja wa askari hao anasema kitendo hicho siyo cha kiungwana kwani akzi waliyoletwa kufanya imekwisha, na jana walikuwa wameitwa kwa...
  12. K

    askari wa jkt waletwa kuharibu uchaguzi bunda

    huwezi kuamini ninachokiona katika uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya nyasura, kwani katibu tarafa kwa kushirikiana na yule jamaa aliyeharibu uchaguzi katika kata ya manchira wameleta askari wa jkt wapo 30 na wamefikia katika shule ya sekondari ya bunda. sasa wanafunzi wa shule wamekuwa wa...
  13. K

    Mkuu wa Wilaya ya Bunda amdhalilisha mwalimu

    mkuu wa wilaya ya bunda joshua mirumbe amemdhalilisha mwalimu wa shule ya msingi kung'ombe kwa kumpinga ngumi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya.kisa kilichosababisha mkuu wa wilaya kumpinga mwalimu huyo ngumi ni mwalimu huyo kuwa upande wa upinzani badala ya kuwa ccm.je ni haki mkuu wa...
Back
Top Bottom