Search results

  1. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    unatakiwa uwe unajua sana movement za mpira na kazi za mchezaji uwanjani ili utambue kuwa kwa sasa pale mbele arsenal front three kai ndio mchezaji bora zaidi,bila yeye tungekuwa tuna mbele mbwela
  2. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    unpopular opinion,Kai was the best transfer for arsenal
  3. UMBWE1

    Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    Jiandae kumuacha taratibu hiyo tabia hawez kuiacha,wala usigombane,ukiona hivyo MUNGU kakuonyesha bado mapeama,by the way your still young,take courage
  4. UMBWE1

    Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

    kama international school ni canon andrea,kama ni english media zipo nyingi na zinatofautiana ubora
  5. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Porto hakijawahi kuwa kiwanja chetu kirahisi,na wao wakijaga london kula tano ni kawaida
  6. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Realy ? au simjui sana zuba
  7. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    TUKUTANE WEMBLY
  8. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kama unazumngumza uhalisia utakubali arteta aliikuta timu inahali mbaya,na arteta bado hajafika msimu wa 5,unakumbuka rodgers alikabia kuipa ubingwa liverpool
  9. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sasa nyie mnatokeaga timu ikifanya vibaya,sisi tunaangalia growth ya timu,unazungumza timu kukaa kileleni muda mrefu kama failure ya season,mbona huzungumziii kama success ya season ? timu imetoka kutoka nafasi ya tano mpaka kukaa kileleni muda mrefu hivyo wewe haushangai ? timu ilikuwa na maono...
  10. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kama kuna mtu mpaka leo anaona kai bado ajadeliver,aje tumfundishe namna ya kuangalia mpira,kai nimegundua tumemnunua kwa bei rahisi sanaa
  11. UMBWE1

    Ushauri: Siyaelewi haya maisha ya ndoa

    tabia nyingi alizonazo wanawake wengi wanazo,kwahyo jifunze kuishi na mwanamke,wewe unafikiri magari yameajaa bar kila siku jioni unafikiri wanaume wote hawapendi kuwahi nyumbani ?
  12. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sio kweli hatukupoteza ubingwa kwa kufungwa na city,tulipoteza ubingwa kwa timu ndogo kabisa ambazo tungeweza kuzimanage,ubingwa ulipotea kwa SOUTON,WEST HAM NA BRIGTHON,na kilochosababisha wala sio kuumia kwa saliba tu,ila ukweli ni kwamba kuchoka kwa saka na partey kulicost timu mwishoni,saka...
  13. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hata kabla hajaja spurs jamaa alikuwa mzuri sana,ila ni vile inatokea kwenye mpira mchezaji mzuri sana anaishia timu za size ya kati,nakuambia hata man u wangemchukua maddison angewabadirisha sana sijajua kwa nini timu kubwa wanamuona wakawaida,ni mzungu anayejua mpira
  14. UMBWE1

    Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    Kwanza wanapanda kwenye hayo madude ya kupelekwa deep sea kufanyaje ? yaani mdada unayejiheshimu upande kwenye hilo taiti na mkaa yupo nusu uchi na wewe uko nusu uchi wala sio kaka yako arafu unategemea akuache tu? nyie mnao laumu hao vijana wanaofanya huo ujinga unaweza kumucha mke wako akaenda...
  15. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nimemsikia huko zenzychenko anahojiwa akaulizwa kati ya partey na rodri nani mkali akasema partey Rio akataka kubisha,amemtolea analysis nzuri sana,amesema rodri ni mchezaji wa system wakati partey ni mchezaji mwenye quality anafit kokote,akamwambia Rio kama anabisha aje amtazame Partey wakiwa...
  16. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    RICE and PARTEY Ila jamani nimepitia uzi mzma baada ya ushindi sion kabisa mkizungumzia partey effect kwenye game,jamaa kaingia akaset tempo ya game,man city wote wakapotea kabisa,baada ya hapo hata tungecheza dakika 20 nyingine man city asifanya chochote,Partey anajua mpira...
  17. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    umuhimu wa partey kuwepo kunasaidia sana odeagrd kucheza vizuri
  18. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Partey akiwepo odegaard huwa anacheza sana
  19. UMBWE1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bro mechi ya jana ilikuwa rahisi kwenye face zote,rahisi kuliko hata mechi ya everton,maana tot walikuwa wanafanya mistake nyingi sana wakati wanafanya build up,ile mechi mechi ilikuwa inaisha kipindi cha kwanza kabisa,point zote nne tulipoteza msimu huu sio kwasababu wapinzani walikuwa bora ila...
Back
Top Bottom