Search results

  1. L

    TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

    afad hal afadhalo umenistua.ninge ingia ttcl kumbe nayo ni hovyoo.kama airtel.mi natumia airtel .aisee inaboa sana.yaani ukishafika maeneo ya pugu inakata.mpaka saa nne usiku.natafuta kwa kuhamia kwa kweli
  2. L

    Huwa ninakosea wapi kwenye oral interview?

    Waajili wanataka mtu ambaye wanaa uhakika ataweza kufanya kazi watakayo mpatia.hivyo lazima kuwashawishi kwamba unauwezo wa kufanya hiyo kazi wanayo kufanyia interview hivyo kama ulikosa bas ujue uliyeshindana naye aliweza kumshawishi mwajili kwamba naweza zaidi yako lakini unaonekana una...
  3. L

    Ugoni bila kutenda nimeumia sana

    inakuwaje mwanaume una endesha saloon ya ke
  4. L

    Kiasi kikubwa cha fedha ambacho umewahi honga au kuhongwa

    elf30.nikatukanwa hela gani hii .siku nyingine usiniite.mimi na wabahili tofauti.
  5. L

    Mhasibu wa TAKUKURU anayemiliki viwanja 25, nyumba 11 zikiwemo ghorofa 7 atimuliwa kazi

    hivi alitakiwa kufukuzwa au kisimamishwa kazi? mbona wanavunja sheria za utumishi wa umma? au tayari imethibitishwa kwamba mali hizo alizipata kwa ufisadi?
  6. L

    Tujifunze, Tuijadili na Kuielewa Historia ya Rais Wetu

    Tujadili historia ya Raisi ili iweje sasa? Du wakati mwngine tunapotezeana muda.
  7. L

    Uzembe: Fadhy Mtanga atapeliwa maelfu kizembe

    Fadhy Bwana pole sana. kumbe elfu 39 ni mamilioni ya hela ?:cool: QUOTE="Bujibuji, post: 17445913, member: 13443"]Uungwana una gharama zake. Dakika chache zilizopita amenipigia mtu simu. Ametumia namba 0764882284, akajitambulisha anaitwa Paul akipiga simu kutoka Vodacom Huduma kwa...
  8. L

    Charles Kitwanga ni msiri wa Dk. Magufuli

    Aisee PHD kweli wewe ni PHD ya ukweli kabisa. yametimia vile vile kama ulivyotabili
  9. L

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    pole sana dada.ni kama zile story za zamani pale mama anasema leta huo mhindi nikutengenezee njia ya kwenda kwa bibi kumbe nataka kula.. hii ngumu kwenda kushtaki ukweni.in away utaonekana hata wewe una tabia mbaya.maana like doughter like a mother
  10. L

    Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

    Hakika Wewe ni mfamasia wa kweli nadhani ni wale wa week tatu wa short course za TFDA kwa wauza dawa
  11. L

    Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

    Yuko artificial kuanzia nywele mpaka chini
  12. L

    Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

    Chines at work
  13. L

    Ilibaki kidogo nifulishwe mashuka lodge

    Bado safari ya kuelekea club inaendelea ukifika utatujulisha
  14. L

    St. Joseph ni chuo cha kitapeli?

    Chuo cha mtakatifu Joseph cha Sayansi na Teknolojia kilichopo Dar maeneo ya Mbezi Kimara kilifungiwa yale matawi yake ya Arusha na Ruvuma, kuna wanafunzi zaidi ya 700 walihamishiwa tawi la Dar es salaam. Inaonekana bado uongozi wa chuo unataka kuendelea kutumia mtaala ule ule usio...
  15. L

    Mimba ya mchepuko inanitesa

    Vipi umeshauza ile ofisi yako kuuza majeneza pale Morogoro Hosptali? au ndiyo maana unataka kuhamia maweni tokamzumbe.maana hizo nyuzi ni zako ulizotoa
  16. L

    Natafuta Mpenzi mwenye sifa zifuatazo

    Wewe unasifa zipi? ni vizuri na wewe ukaweka sifa ulizo nazo
  17. L

    Baada ya Tumbua Tumbua ya JPM.sasa nyumba za ibada zimekuwa zikifulika watu

    toka JPM ainge madarakani na kuanza shughuli rasmi.inasemekana nyumba za ibada zimeanza kufurika kwa kasi kubwa .hasa zile ibada za alfajiri kabla watu hawajatika ofisini hupitia kwenye makanisa kuomba .watu wanaomba Mungu awaaeushie na janga la kutumbuliwa.halafu pia nidhamu ya matumizi...
  18. L

    Nimehudu TANESCO miaka nane bila kuajiriwa

    Pole sana mkuu.natumaini siku za hao wanyanyasaji zinahesabika Nimeona humu wengine wanakudhihaki .hao nao ni wale wale wasiojua kitu. Unachosema uko sahihi sana .nami nina ndugu wa karibu anamaumivu kama yako.nakubaliana 100% .hapo Tanesco bado kuna vimungu watu
  19. L

    Kwanini Magazeti yanampuuza Kingwangalla?

    Ni aibu kwa waziri kushughulikia vitu operational. Kama waziri anakagua attendance badala ya ufanisi afisa utawala atafaya nini sasa.Ninaanzaa kuhisi mawaziri wetu hawana jd
  20. L

    Jamani ndoa ngumu, tokea aolewe ni miaka 2, anamfumania mmewe na michepuko

    Mpe pole.jamani kupiga mke ipo mpaka leo Hiyo nakumbuka ilikuwa zamani sana.huyo mwanume hafai.lakini mke ajifanyie tathmini ni wapi wanpokosania na mwenzake.labda pia mke hafanyi kile alikuwa anafanya kabla ya kuolewa naye. In a way alidhani baada ya kuolelewa yuko safe.ajitahidi arudishe...
Back
Top Bottom