Search results

  1. S

    Vomiting and Diarrhea

    Habari, Jamani nina hii tatizo mwenzenu siku ya 3 leo. Ilianza kutapika juzi asubuhi ikafuatiwa na Diarhea. Kutapika ilishaacha ila Diarrhea inaendelea. Hivi mtu unaweza kuwa na Diarrhea kwa siku 3 mfulululizo? haijawahi kunitokea. Nilipoenda hospital walipima typhoid hamna, Malaria hamna ...
  2. S

    Mheshimiwa Magufuli vunja kituo cha mabasi Mwenge kinasababisha foleni!

    Habari, Naomba kwa anayeweza kupata nafasi ya kumpa ujumbe huu mheshimiwa waziri Magufuli amwambie kuwa kile kituo cha Mwenge sasa kimezidiwa nguvu na magari na watu matokeo yake kinatupa tabu sisi tunaopita pale mida ya usiku. Naomba kihamishiwe pale ili barabara iongezwe upana na kituo kiende...
  3. S

    Natafuta taa ya Verossa upande wa Kulia

    Habari, Jamani naweza kupata wapi taa ya Verossa upande wa kulia. Anayefahamu na bei plz maana nimepaki gari nimekuta wamegonga wamekimbia.
  4. S

    Jerry Silaa na wenzako ondoeni marundo ya uchafu Kawawa rd

    Habari za asubuhi, Jamani ni takribani juma moja sasa limeshapita toka nianze kuona marundo ya takataka yaliokusanywa pembezoni mwa barabara ya Kawawa , zaidi hapo eneo la Machinga Complex. Inasikitisha zaidi hizi taka zipo hadi kituoni kabisa ambapo wananchi wanasubiri usafiri hapo Lindi na...
  5. S

    Fixed Deposits in USD and TZS

    Habari, Anyone interested in keeping Fixed Deposits from 3 Months to 1 year plz let me know, will give you best rates.
  6. S

    Its weekend let us go out and have fun...

    Habari chitchaters, Weekend hii nipo free natoa offer kwa mwanadada mmoja au hata kama ni wawili lol (watatu hapana watani overwhelm :biggrin:) twende out tuka have fun, time kama kuanzia 20:00 hadi around 01:00 namaanisha saba saba hivi siku ya jumamosi ya kesho 20th April 2013. Tafadhali...
  7. S

    Fixed deposits at good rates

    Dear Members, Anyone interested in keeping his/her money in FDR be it for 3,6 or 12 months. Please PM me amount and desirable period I will advise the best available rate. Pamoja sana.
  8. S

    UCHUMI supermarket acheni hii tabia chafu mnatuboa!

    Wanandugu, Mimi huwa naenda pale Uchumi siku za weekend kununua mahitaji kadha wa kadha. Lakini kuna katabia pale ambacho huwa kinanikera sana. Mara nyingi wale cashier wao hawana chenji ndogo ndogo. Yani kila nikienda naacha sh 50, 100 au 200 kwa kudai eti hawana chenji. Na hii inanikuta kila...
  9. S

    Rick Santorum suspends his Campign!

    Now its Obama vs Mitt Romney come november 6
  10. S

    Mwanaume kuvaa cheni

    Habari, Nipo sehemu msibani nikitupia jicho naona si chini ya vijana wa tano wana cheni shingoni. Najiuliza hii mambo imekaaje? Halafu sio vijana wadogo ni wale above wa kama 40s. Kidogo napata wakati mgumu kuelewa especially kwa mahala kama hapa.Hii imekaaje au wadada mnanunulia bf na...
Back
Top Bottom