Search results

  1. F

    Udsm md selection

    Kwa wale walioomba medicine udsm majina tayari
  2. F

    Naweza kujiunga na degree ya udaktari nikiwa na diploma ya clinical medicine?

    Jamani habari zenu humu ndani, Nilikuwa naomba kujua kama mtu aliyemaliza Diploma ya Clinical Medicine na akapata GPA ya 3.5 matokeo ya mwisho akitaka kujiunga na degree ya MD inawezekana. Je ni matokeo yapi yatatumika maana mimi nasikia ni cumulative GPA kuanzia ya first year. Naomba msaada...
  3. F

    Je kwa matokeo haya unaweza kusoma diploma?

    Jamani nilikua naombeni ushauri kama una div 3 ya 17 yaani umepata bios C phy F chem F na S ya bam na g.s je unaweza kusomea diploma ya clinical officer au ualimu? naombeni msaada wa mawazo please
  4. F

    Je hii ni halali?

    Leo katika maadhimisho ya miaka 48 imedhihirisha mapungufu makubwa ya utawala wa JK. nasema hivi kwa sababu mimi mwenyewe nimeshuhudia jinsi siku hii imekuwa ni ya gwaride,maonyesho ya halaiki na ngoma za asili hii inaonesha udhaifu wa serikali kwani wameshindwa kutoa hata hotuba ya kuelezea...
Back
Top Bottom