Je hii ni halali?

freduu

Senior Member
Mar 23, 2012
124
40
Leo katika maadhimisho ya miaka 48 imedhihirisha mapungufu makubwa ya utawala wa JK. nasema hivi kwa sababu mimi mwenyewe nimeshuhudia jinsi siku hii imekuwa ni ya gwaride,maonyesho ya halaiki na ngoma za asili hii inaonesha udhaifu wa serikali kwani wameshindwa kutoa hata hotuba ya kuelezea changamoto zinazokabili muungano,kueleza faida za muungano, tufanye nini ili muungano uendelee kuwepo.badala yake imeishia kuwa ni siku tu ya show.
 
Back
Top Bottom