Search results

  1. N

    Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi yalipa mishahara na matumizi mengine 1.7Bn isiyo na tija

    Matumizi ya Bajeti ya Maendeleo "Mheshimiwa Mwenyekiti, katika mwaka wa 2016/2017, Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ilitengewa jumla ya Shilingi 100,527,497,000 kupitia Fungu 43 kwa ajili ya kutekeleza Miradi ya Maendeleo. Aidha, Wizara ilipokea fedha kwa ajili ya kulipia madeniya wakandarasi...
  2. N

    Nape Nnauye aingia bungeni kama shujaa

    Wana wa jamii kuna taarifa ya kwamba jana Nape aliingia Bungeni kama hero, kwani alishangiliwa na wabunge wote hata kumlazimu mwenyekiti kuwataka hayo mahaba wayafanye bila kelele, mwenye video aturushie
  3. N

    CAG ataripoti vipi hela ambazo zimetumika bila idhini ya Bunge?

    Wakuu na wataalam wa udhibiti na ukaguzi wa hesabu za fedha nina mashaka na fedha zinavyotumika nje na bajeti iliyopitishwa na bunge, sina uhakika kama Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za serikali kama ataweza kuainisha namna zilivyotumika zaidi ya kusema hazijulikani zilipo, Naona mkuu...
  4. N

    Bombadier zimetengeneza faida kiasi gani?

    Wadau wa biashara ningependa kujua faida au hasara iliyotengenezwa
  5. N

    Two Posts for teaching

    Nursery Teachers from Kenya/ Uganda are required to fill Two vacant posts available in Kilimanjaro Region at Masama Ng'uni- Marukeni where the school is, the school is ready to cover the working permit for those who qualify, Contact through Mob 0715393977
  6. N

    Wanatafutwa Waalimu wa Chekechea kutoka Kenya/Uganda

    Wanatafutwa Waalimu wa Chekechea kutoka Kenya/Uganda, Shule yenyewe ni English Medium na ipo mkoani Masama Ng'uni - Marukeni Kilimanjaro, Kwa mawasiliano Piga Simu namba 0715393977
  7. N

    Deni la trillion 28 endelevu, litalipwa na CCM, au?

    Inavyoonekana hakuna dalili za kushuka kwa deni la taifa ambalo sasa hivi limefika trilion 28, ziko wapi juhudi za makusudi za kutumia raslimali tulizonazo kupunguza/kulipa hilo deni? hamna, Ewe mwanasisiem una mapenzi mema na nchi hii, kwa sababu inavyoonekana CCM imekuwa kama mpangaji ambaye...
  8. N

    Mitaro kandokando ya Barabara ni chanzo cha Maradhi

    Mitaro yote iliyoko Dar es Salaam imekuwa ndiyo sehemu kuu ya kutupa takataka, na imekuwa source kubwa ya maradhi ya tumbo.kama hamna taka ngumu, kuna maji machafu ambaya hayatembei hivyo kuwa source kubwa ya mazalio ya Mbu aina yote. Mimi naona hata strabag hawajakosea kujenga barabara bila...
  9. N

    Askari wa usalama barabarani watumie mashine za EFD

    Jamani wadau wa JF mimi nimechoshwa na vitendo vya polisi wa usalama barabarani wakitembea na vitabu vya risiti huku wakipokea hela na kutoa risiti ambazo nina uhakika nyingi ni fake, hivyo kufanya mapato ambayo yanatakiwa yaende serikalini yaishie kwenye mifuko yao. Mimi nashauri serikali...
  10. N

    Baba wa Taifa Mwl Nyerere na Baba wa Imani Ibrahim nani Mtakatifu zaidi

    Baba wa taifa amefanya mambo mengi mazuri sana,hilo kila mtu analijuwa, lakini kama binadamu kuna mambo aliyakosea mazuri na mabaya kihistoria ni lazima yaandikwe kwa ajili ya kujifunza, Baba wa Imani Ibrahim ni mtakatifu ambaye ameandikwa kwenye vitabu vyote vitakatifu, lakini pamoja na mazuri...
  11. N

    Kwanini tumekuwa so inferior kwa Zanzibar?

    Crimea imejitoa Ukrane ikajiunga na Urusi nchi kubwa, bado kuna kipande cha Ukrane Mashariki nacho kinataka kiende Urusi. kwanini tunakuwa inferior kwa Zanzibar? Tanzania tunatumia nguvu kubwa sana kuihold Zanzibar,tunahitaji serikali tatu ili tuweze kubalance utashi wa Muungano. Hakuna muafaka...
  12. N

    Mama au Baba yako wameathirika na maambukizi ya UKIMWI, unampa mtoto akamlee kijijini

    wapo wazazi wanaona sifa kumpeleka mtoto wao mdogo kwenda kulelewa kwa muda huku wakijuwa bibi au babu yake na huyo mtoto ameethirika. Siyo sawa tuwe makini.
  13. N

    gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

    Gazeti la Rai mmeliwona lilivyotoka sitori iliyokwenda shule, mpambano kati ya edo na jk
  14. N

    Kama S Ulimboka hakuajiriwa ina maana mtoto wa jirani yako akija kwako unaagiza watoto wako wamchape

    Ulimboka ni mwenyekiti halali wa jumuiya ya madaktari Tanzania, anaongoza wajiriwa wa serikali na wasioajiriwa, kwa hiyo sioni sababu ya yeye kupewa kichapo.
Back
Top Bottom