gazeti la rai na ukomavu wa mhariri

ngararumu

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
468
187
Gazeti la Rai mmeliwona lilivyotoka sitori iliyokwenda shule, mpambano kati ya edo na jk
 
Kazi kweli. Nimejikuta najishangaa kwanini nimefungua hii post
 
Gazeti la Rai mmeliwona lilivyotoka sitori iliyokwenda shule, mpambano kati ya edo na jk
Unaongelea hicho kijarida, ambacho kina udugu wa damu na TBC na gazeti la Uhuru?! Kama sikosei kuna mtu mmoja aliwahi kunitonya kuwa, hao wana udugu mzito, kwa kuwa wamezaliwa na baba na mama mmoja!!
 
halina mpango kabisa wanawafagilia hao boyz 2 men na wamemponda sita sana

Nimesikia fununu kuwa, kutokana na article za hilo gazeti, za akina Bagenda, ambazo hazitaki kabisa kubalance story kama taaluma ya uandishi wa habari inavyotaka, hilo gazeti halinunuliki kabisa, na badala yake, hata hao wahariri na waandishi wanalipwa mishahara na hela ya ruzuku toka mifukoni mwa RA na EL, sasa sjui hilo gazeti litajiendesha hivyo kiuhuruuhuru hadi lini? Nadhani kuna dalili ya imminent death ya hilo gazeti, hasa baada ya CDM kuchukua nchi 2015!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom