Kuanzia Nyerere mpaka sasa ni unyonyaji na ufukarishaji.
Vyama vya Ushirika vimekufa, majirani zetu kenya wamejifunza kwetu ushirika, sasa hivi vyama vya ushirika ke vina nguvu kubwa sana kiuchumi.
Nyerere angeacha vikastawi tz tungekuwa wapi?
Hata haya anayofanya SHS Hakuyafanya kipindi cha Mwendazake kwani isingewezekana. Ni sawa kwa Waziri mkuu kusimamia msimamo wa bosi aliyepo madarakani.
Ipo JADI YETU inayojumuisha dini zote au taratibu zote za kale za kuabudu. Fatilia Youtube Jadi Yetu au seach Telegram utapata mafunzo yote na kitabu kipo tayari kinachojumuisha vizazi vyote na si Afrika tuu na ukweli upo hapo.
Uko sahihi
Kabisa kutenganisha vyeo kutasaidia uwajibikaji kwani chama kilichomuweka Raidi madarakani kitakuwa kinaweza kumuhoji pia kumtoa pale anapokiuka maelekezo ya Chama au Katiba ya Nchi kama alivyofanya Mwendazake.
Chama kinakosa uwezo wa kuihoji Serikali kwani. Ukitenganisha Chama na Serikali Chama kitakuwa na nguvu ya juu ya Serikali. Lakini hili linahitaji Serikali kama ya China ambayo hakuna vyama vingi.
Ni kweli na kiongozi huyo ni Liss3kwa Magufuli snatenganisha na kubagus watanzania kwa rangi zao, ukabila na ubaguzi wa vyama. Pia ubaguzi wa wapi maendeleo yapelekwe hata kama wananchi wa eneo hilo wanalipa kodi.
Ni kipindi cha kuchagua Tano Kwanza kwa Uhuru, Haki na maendeleo ya Watu na sio...
Hovyooo kabisa, kwa taarifa yako muda huu anatokea Rombo anakuja Moshi baada ya kufanya mikutano Hai, Sanya Juu, Kamwanga, Tarakea, Mkuu, Himo.
MATAGA mjipange kudanganya wasiojua.
Ukishajenga uwanja unamsaidiaje mkulima asiyepanda ndege au mmachinga azungushaye bidhaa mtaani au Mama ntilie huku mtaani. Wezesha wananchi wapate hela kisha kusanya kodi ujenge miundombinu yako. Unajenga hospital kwani watanzania wote ni wagonjwa?
Kwa Lugha rahisi alisababisha vifo vya wenzake 200 au alishiriki mauaji ya wenzake 200 ili yeye mmoja apone badala ya kushirikiana kuwaua askari wote waliokua wanawalinda.
Swali zuri sana. Wanapokwama ni kufikiri kuwahamisha wapinzani walioshinda maeneo yao kutawapa hakika ya kushinda uchaguzi ujao. Iwapo ccm inakubalika kwa asilimia 80 waweke tume huru ya uchaguzi na uwanja huru wa mapambano kisha tusubiri matokeo huru.
Kuumwa si sehemu ya maisha halisi ya watu maana watu tunaweza kuishi bila kuumwa tukifuata utaratibu wa asili wa jinsi ya kula.
Majibu kwa maswali mengine ni kutumia akili tuu.
jinsi ya mtiririko wa uumbaji wa biblia na hali halisi haviendani kabisa. ipo contradicted kwa wasiokuwa na mawazo chanya na tafitivu. biblia ni kitabu kilichoundwa maalumu kumfunika mtu asitambue ukweli uliopo. wakati maisha na elimu ya sayansi inaonyesha wazi kuwa huo uumbaji wa biblia ni vitu...
Kiwango kikubwa kabisa cha ujinga wa Imani kwa aishie kwa Imani. Kwangu Imani ni upungufu wa Maarifa. 1÷1 =2 kwa nini niseme nina imani ni 2? Kitabu kimeandikwa na binadamu na binadamu ndiye kaandika upendo na Mungu hivyo binadamu kwa vyovyote vile ndiye kamuumba Mungu kisha kutujengea imani ili...
Ukitaka kujua kuna baadhi ya watu hawajui maana ya mageuzi na kushinda uchaguzi. Huwezi sema uwanjani hakuna tembo ilhali hawezi jificha. Lowassa ni tembo uwanjani ambaye amemwona ni Mbowe. Kuunganisha nguvu ni jambo la heri kwenye uchaguzi. Lowassa ana watu tayari na walioneķana kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.