Search results

  1. xixi

    Msaada mwenye uzoefu/utaalamu na biashara ya chakula(mama ntilie)

    Habari zenu wapendwa, Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000. Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf: 1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.) 2. Namna ya...
  2. xixi

    Mwanaume limbukeni

    Habari.. Nimetamani kushare kuhusu mwanaume limbukeni. Yule ambae anahisi akikupa ela ndo kamaliza kukupenda na kukujali. Ambae mali yake kila siku inaliwa na vijana wa mtaani, wachora kucha, bodaboda, waha wakopesha vyombo nk. Halafu unakuta kuna mwamba huku ndani anaijua hii, ila anaona...
Back
Top Bottom