Search results

  1. Michosho

    Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

    We jamaa ,Kwa hiyo hutaki kukubali Kuna COVID? Leo hii Kwa kuwa hujapewa CHAKO Cha udalali wa COVID ndo unaongea pumba hzi. Nyau wewe
  2. Michosho

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Mke wa mtu ni sumu. Kama alifikia hatua ya kutembea na wake za Watu,hayo ndo matokeo yake
  3. Michosho

    Ni lini tutaacha Kumsimanga Hayati Magufuli na kumuonesha kuwa hakuwa Rais mpenda Watanzania?

    Wanaolipwa humu JF Kumsimanga JPM,Siku wakiacha kulipwa masimango yataisha. Hao wengine,ukifika uchaguzi ndiyo watajua ,kuwa walikosea Kumsimanga JPM. Ujue wapiga kura JPM,walimuelewa sana
  4. Michosho

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Kumbe alishafikia kiwango hiki.Hela zote hzo kumbe alikuwa anazitoa huku?Afadhari apumzike Kwa style hyo.
  5. Michosho

    Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

    Bado Tundu Lisu.Siku akitokea Bongo,anjenda yake itakuwa hiyo hiyo
  6. Michosho

    Tuliofanya kazi na Sokoine tunamuona Magufuli alikuwa ni Mtu Mpole asiyetaka ujinga!

    Hizo fedha umeziona??SI ukazichukue?mwenye nazo SI ameshakufa?...fisadi wewe.
  7. Michosho

    Mwacheni Hayati Magufuli apumzike narudia tena mwacheni apumzike

    Lusu anadanganywa...kitendo Cha kumsema JPM Vibaya ndo mwisho wake ulipoanzia.Kuna wakati mama naye alianza kudanganywa eti kumsema vibaya Marehemu...Mvuto wake Kwa wananchi ulipotea kabisa.
  8. Michosho

    Tundu Lissu: Wameshindwa kutuua, Wameshindwa kutufunga sasa wanajitahidi kutugawa lakini hawataweza

    Lissu Hana kitu Kwa Sasa.Hajui anachokisimamia Hadi Sasa. KItendo Cha kumtukana JPM alikuwa anawatetea wanyonge..hapo ndo mwisho wake kisiasa ulipokuwa. Ni kelele zisizo kuwa na impact yoyote. Kwa ufupi,anatumika tu
  9. Michosho

    Mwacheni Hayati Magufuli apumzike narudia tena mwacheni apumzike

    Ukisoma comments za watu,unaweza dhani magufuli anachukiwa na watanzania. Chuki dhidi ya JPM ni humu tu JF .Na humu ni kikundi Cha Watu Fulani wenye akaunti tatu tatu,wanaoshiriki kutoa shiti. ila huwezi kusema vibaya publicly,IPO Siku mtu atapigwa jiwe Kwa kumsema Marehemu.
  10. Michosho

    Hayati Magufuli aliwezaje ku-trend kila siku??

    Na kweli ni vilaza,wenye roho mbaya kuliko ya shetani,ndo walimchukia JPM mzalendo wa KWELI
  11. Michosho

    CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Hawana ujumbe Kwa wananchi utakao wafanya wawapokee km zamani.Watu wameshawashitukia kuwa ni wachumia tumbo tu na SI watetezi wa wananchi km walivyojiuza zamani kwao. Nao madalali wa nchi hii tu.Mbowe alikuwa anafanya nini huko Kwa wazungu??
  12. Michosho

    CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Sidhani kwani vyote hivyo vilifanywa na mzalendo JPM kupunguza mfumko wa Bei ya vyakula nchini.Hivyo wananchi wanajua kuwa yote hayo yalifanywa na MWAMBA,kuongea kinyume ni kumpinga... tayari utakuwa umekosana nao unaotegemea kura kutoka kwao. In short ,JPM ALIFILISI KABISA HOJA ZA CDM.USALAMA...
  13. Michosho

    CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Vitu km hivi Kwa wananchi wa kawaida ni vigumu kuelewa.
  14. Michosho

    CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Uongo wenu utakuwa wazi Sana.JPM aliwaaacha uchi kabisa
  15. Michosho

    CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Ukweli,nawaona mkiwa na wakati mgumu sana
  16. Michosho

    CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Kila watakacho Kuja nacho, JPM alidhubutu kufanya Kwa taifa hili.Na huwezi ongea matatizo ya nchi hii bila kuongea jitihada za JPM katika kuziondoa. Sasa wataawaambia nini wananchi Ili wawaelewe??na JPM walimpiga vita??Bora wangeungana nae kupinga ufisadi Leo hii wangepata Cha kuongea...
  17. Michosho

    CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM. Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha...
Back
Top Bottom