Search results

  1. O

    Ubunge Afrika Mashariki, CHADEMA hawapati kitu

    Kuna ajenda kubwa nyuma ya chama cha Act wazalendo inayoongozwa na Zitto na Kitila katika issues ya Ubunge wa Africa mashariki, na wanao chezesha mchezo huu ni ccm , walichofanikiwa mpaka sasa ni Cuf kupata katibu mkuu mpya, na kupata wagombea watatu wa Ubunge wa EALA. Wakati huku mnaendelea...
  2. O

    Operation imba Ukombozi, leo kunguruma Ruaha

    Hongera idara mmefanya kazi kubwa mwaka huu
  3. O

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Kama walifikiri chadema ni chama cha msimu, sasa ndio kwanza kazi ndio kwanza inaanza IMBA UKOMBOZI OPERATION inamaliza nyanda za juu Rais anaanza magamba ngoma inogile mwaka huu.
  4. O

    Idara ya sanaa CHADEMA na Operation "Imba Ukombozi"

    Idara ya sanaa Chadema makao makuu inakuretea operation imba ukombozi kanda ya nyanda za juu kusini. Tarehe 05/04 Njombe Tarehe 08/04 Makamako MKOA WA MBEYA:.......TAREHE 10/4/2015 mbeya mjin viwanja vya uyole.... 11/4/2015..mbarizi mjini... 12/4/2015...MJI WA UMALILA...
  5. O

    CHADEMA Iringa inakukaribisha kwenye Mkutano mkubwa na uzinduzi wa Nyimbo Mpya

    Hii ni historia niko dar ila kwetu Iringa ntaondika dar jumamosi sikubari kukisa histoia msingwa Sugu Lema madiba haijawai tikea
  6. O

    Kinana amsafishia njia Mbowe 2015

    Matako wewe
  7. O

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Danny Raymond Madiba, Amani mgheni, Rehema Msami, Mchale kisheri Kati ya hawa moja wao ni mbunge wa Segerea.
  8. O

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Waswahili wanasema msitu uleule ila nyani tofauti, nani asiyekumbuka augustino lyatonga Mrema alivyojiudhuru ubunge kwa mbwembwe mwaka 1995 na kujiunga na Nccr mageuzi na kuwa m/kiti? Nyuma ya pazia kukiwa na ccm na usalama. Akaja Fred Mpendazoe mwaka 2010 akang'atuka na kuacha ubunge na...
  9. O

    Kitila mkumbo wewe ni prof wa aina gani? Wakukaa mfukoni mwa mtu!!

    Jana prof kitila mkumbo ameonekana kwenye picha akimpokea Zitto kabwe kwenye zoezi la kumkabidhi kadi. Mwaka Jana huyu prof kitila mkumbo alipoteza ukuu wa chuo kwa sababu ya kuwa Kiongozi wa chama cha siasa kinyume na taratibu za kazi yake. Leo anaonekana 100% tena kiongozi wa chama cha siasa...
  10. O

    Jimbo la Segerea ni mali ya CHADEMA ndani ya UKAWA au nje ya UKAWA

    Sizani Kama ni vema kuwataja kwa sasa ila wapo na ni watu wenye uwezo mkubwa
  11. O

    Jimbo la Segerea ni mali ya CHADEMA ndani ya UKAWA au nje ya UKAWA

    Sidhani kama ni vema kwa sasa kuwataja ila wapo na wako vizuri
  12. O

    Jimbo la Segerea ni mali ya CHADEMA ndani ya UKAWA au nje ya UKAWA

    Jimbo la Segerea ni moja ya majimbo nane (8) yaliyoko mkoa wa Dar es salaam, ni jimbo jipya lililoanzishwa mwaka 2010 kwa kugawa jimbo la Ukonga, na sasa kuna jimbo la Ukonga na jimbo la Segerea. Jimbo la Segerea limepata Umaarufu baada ya Uchaguzi wa mwaka 2010 kwa chama cha Chadema kufanya...
  13. O

    Mahakama ya Kisutu mpaka jioni hii hawajatoa dhamana kwa Makamanda wa CHADEMA

    Hakimu mkazi Waliwandwe Lema wa Mahakama ya Kisutu mpaka muda huu wa saa kumi na moja jioni hajatoa dhamana kwa Makamanda wa CHADEMA na yuko Ofisini. Kuna kila dalili za kuwa na maelekezi fulani ya kukwamisha zoezi la dhamana kwa wausika, tutaendelea kuwapa taarifa zaidi...
  14. O

    Viongozi wa CHADEMA wanaoshikiliwa na Polisi wanyimwa Chakula toka wakamatwe

    Kama serikali inapindisha sheria na wao ndio walezi wa sheria nini unategemea? Watu wakichoshwa na huu uhuni ni balaa kwa Taifa na sio ccm au CDM tu
  15. O

    Viongozi wa CHADEMA wanaoshikiliwa na Polisi wanyimwa Chakula toka wakamatwe

    Naibu Mkurugezi wa ulinzi wa CHADEMA bw Hemed Sabula na Benson Mramba wanaoshikiliwa na polisi Makao Makuuu ya polisi kwa tuhuma ambazo hazijawekwa wazi, hawajapewa Chakula toka wahamishwe kutoka kituo cha Orsterbey kuja central. Hilo kimefahanika Jana wakati Katibu mkuu wa CHADEMA Wilbroad...
  16. O

    Afisa Usalama (Hemed Sabura) na Afisa Utawala (Benson Mramba) wa CHADEMA wanashikiliiwa na Polisi

    Inasikitisha chama kinachohubiri haki za binadam na utawala bora wanapochukua hatua za kumpiga mlinzi wao kwa tuhuma tu zisizokuwa na uthibitisho. Huu ni upotoshaji kigezi yuko salaama na Jana katoka kwa dhamana na hajaenda hospital acheni unafiki
  17. O

    Idara ya sanaa - CHADEMA Taifa inakuletea siku ya mziki na siasa

    Hicho ni chakura niko moro bt lazima niwepo hapo
  18. O

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Mbinu ya kuuwa ni silaha ya mwisho kabisa kwamaana fupi wamekaliwa pabaya
  19. O

    Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    LIVE UPDATE UCHAGUZI SERIKALI ZA MTAA PWANI na DAR ES SALAAM (CALL CENTER CHADEMA) hali ni mbaya sehemu kubwa ya Dar es salaam sehemu nyingi uchaguzi humehairishwa kwa mapungufu mengi kama watu kukamatwa wanapiga kura mara mbili,vifaa kukosekana,wasimamizi kutofika...
Back
Top Bottom